Tetesi: Waihiga Mwaura kuwa Mrithi wa Salim Kikeke BBC

Tetesi: Waihiga Mwaura kuwa Mrithi wa Salim Kikeke BBC

Natamani angekua mtanzania tena, tatizo watangazaji wa tanzania hawako professional wengi ni machawa na elimu wise hawako vizuri. Wakenya wamejipanga japo kiswahili chao wame jifunzia Tanzania, kwamfano Mauleed kitenge angeweza ila mihemuko mingi sana na kelele.
Uyo shule yake kama madrasa basi tabat ada
 
Hamzijui figisu za Kenya nyie wadau! Tanzania watangazaji wa kupiga kazi BBC mbona wapo! Sasa shida ni connection. Wakenya wanavutana palipo na fursa!
 
Tanzania ni nchi peke inao kosa serious daily Gazeti, serious Radio stetion, FM zote muondo wa presenters ni ule ule, TV ndo usiseme ukiondoa UTV ya Azam zingine taarifa ni ile ile, maanake tumeshindwa kutoa journalist wa maana wote ni wasakatonge machawa.
Radio free Africa ,Tbc ,ITV wapo vizuri japo wameanza kutoka kwenye quality yao..
 
ndo ujue Waandishi wenye uweledi bongo niwachache

BBC walichungulia na kuona waandishi wa habari ambao kutwa ni KUSIFIA NA KUABUDU UJINGA.Waroho wa teuzi na si wa sema kweli.

Toka ametoka charlse hillary, zuhura yunus na sasa kikeke hakuna replacment yyte ya maana toka TZ zaidi ya Ambwene Mwamwaja.

KUNA HAJA YA MIANDISHI YA TANZANIA MINGI KUBADILIKA, TASNIA YA HABARI HAITAKI UCHAWA

Tunasubiri uteuzi.
 
unawapamba wakenya kwamba wanapeana fursa as if Kikeke nae Mkenya. Shida ya Wabongo hata ukimuunganisha sehemu ataharibu kwa kuiba au kuleta ujuaji na uvivu
Sasa hapo nimewapamba au ndivyo walivyo? Wanajuana kupeana fursa. Hivi unaamini kwa Kiswahili cha Kenya watuzidi kwenye utangazaji kweli? Mbona Tanzania wapo watangazaji wazuri tu! Hebu jaribu kufuatilia uone kama hiyo Idhaa ya Kiswahili ya BBC haijakamatwa na Mkenya!
 
Natamani angekua mtanzania tena, tatizo watangazaji wa tanzania hawako professional wengi ni machawa na elimu wise hawako vizuri. Wakenya wamejipanga japo kiswahili chao wame jifunzia Tanzania, kwamfano Mauleed kitenge angeweza ila mihemuko mingi sana na kelele.
Mnapenda kudharau watu sijui kwa nn?, kama watangazaji Tanzania elimu zao ni za hovyo,na hawa akina hilal,tido,yunus,kikeke ni warundi?,kama kenya wao wamejipanga,wameiongoza BBC watangazaji wangapi toka kenya?. Vijana waleo shida yao sijui ni njni?, mnaonekana kama wasomi wasio kuwa na elimu.
 
Hata chuo kikuu miaka ya nyuma tulikua na professor wenye majina makubwa kwenye kila department, unatamani kumsikiliza, sasa neenda udom na udsm uone ma profesor uliopo hawana hata academic popularity, sasa hivi tunarudi reverse sio mbele tena.
Sababu serikali inaingilia mambo, inataka wanafunzi wafaulishwe kwa lazima
 
Back
Top Bottom