KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Wako kibiashara zaidi!WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!
Hayo ndiyo maneno,....Wanatafuta mbinu za kufanya kazi zao ziuzike, so wana check kwanza watu wanapenda kuona mavazi gani, bado kidogo tutaona na vimini vinavaliwa
Wanatafuta mbinu za kufanya kazi zao ziuzike, so wana check kwanza watu wanapenda kuona mavazi gani, bado kidogo tutaona na vimini vinavaliwa
WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!