Sda is the best kulinganisha na haya madhehebu mengne, nyimbo zao znaujumbe wa nguvu wa kumtafakari mungu, kimavaz wanajitahidi sana,maandko ndo balaa, rc wao masanamu ndo kwao,nymbo zao hamna ktu zaid utaskia maria maria,na mitndo ya ngoma za jadi. Walokole nymbo zao duu mara facebook,mipasho na kuimba matukio ya watu hasa yakusktsha.
Hivi kumbe kuvaa haingii kwenye matendo eeh? Itabidi nirudi darasani kwenye kiswahili.Na wale wanaovaa magauni yaliyobana hadi zile nguo za sirini zinaonekana mbona hamuwasemi? Naona mmengangania tu suruali. Dont judge a book by its cover. Hakuna vazi litakalompeleka mtu Mbunguni bali imani na mtendo yako. Chamuhimu ni kuwashauri waangalie na mitindo ya nguo wanazovaa imekaaje.
WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!
acha kuongea pumba.kwani kwenye biblia kuna sehemu imeandikwa wanaume wavae suruali?
Sda is the best kulinganisha na haya madhehebu mengne, nyimbo zao znaujumbe wa nguvu wa kumtafakari mungu, kimavaz wanajitahidi sana,maandko ndo balaa, rc wao masanamu ndo kwao,nymbo zao hamna ktu zaid utaskia maria maria,na mitndo ya ngoma za jadi. Walokole nymbo zao duu mara facebook,mipasho na kuimba matukio ya watu hasa yakusktsha.
Sda is the best kulinganisha na haya madhehebu mengne, nyimbo zao znaujumbe wa nguvu wa kumtafakari mungu, kimavaz wanajitahidi sana,maandko ndo balaa, rc wao masanamu ndo kwao,nymbo zao hamna ktu zaid utaskia maria maria,na mitndo ya ngoma za jadi. Walokole nymbo zao duu mara facebook,mipasho na kuimba matukio ya watu hasa yakusktsha.
Hapo nilipoweka nyekundu naona umekosea:
300 Changes In The NIV and Other Modern Bible Versions
source: 300 Changes In The NIV and Other Modern Bible Versions
Isiyobadilika ni Qur'an pekee.
[/COLOR]
1. Hakuna mwanadamu anayeweza kuratibu mwenendo na maadili ya mwenzake - KIPIMO hatuna ila Mungu ndie mwenye kipimo - kila MWANADAMU ana udhaifu wake - ila tunamsogelea Mungu kwa NEEMA tupate kutakasika kwa damu ya YESU -
2. Watumishi wa Mungu wanakula madhabahuni na WAIMBAJI WA GOSPEL watakula kwenye madhabahu ya Gospel - wakiimba na kumsifu Mungu
3. Hapo nilipoweka red - ANAYEKUKERA NA MWIMBAJI AU MWIMBO WENYEWE??? NI KWELI IMEKULA KWA SHETANI - kama umeamua kumwacha - sasa ubaya ni upi??? ni huo msamiati au???
Chuki binafsi haifai kwenye mtazamo wa mambo - kama wewe UNAKEREKA wengine WANABARIKIWA
Naomba ukereke na nyimbo za kumsifu shetani na wala sio Gospel songs - zinazomsifu MUNGU
Sda is the best kulinganisha na haya madhehebu mengne, nyimbo zao znaujumbe wa nguvu wa kumtafakari mungu, kimavaz wanajitahidi sana,maandko ndo balaa, rc wao masanamu ndo kwao,nymbo zao hamna ktu zaid utaskia maria maria,na mitndo ya ngoma za jadi. Walokole nymbo zao duu mara facebook,mipasho na kuimba matukio ya watu hasa yakusktsha.
Kwahiyo we kinachokukera kwa RC ni maria na ngoma za jadi?una uhakika wanamuimbaga maria tu au una mambo yako binafsi?imani ya mtu ndio itakayomuokoa kuponda mambo wanayofanya wengine sio tabia nzuri na ikumbukwe ujumbe unaopata wewe sio nitaopata mimi kila mtu ana uwelewa wake....sio lazima wote tutoe comments hasa kama ni za pumba kama yako
umeamua kukifagilia huku ukiponda wengine.....hao sda ndo kina nani...mbona mm siwafahamu..
hata ww ni nani mbona skufahamu, sda-wasabato haya sema kingine pia uache ushabiki hali halisi unaijua kwamba wasabato wako vzuri kwenye nymbo bora za injili na wametulia haswaa.
hapo kwenye red acient/classic arabic haiwezekani ikafanana na modern arabic, acha uongo kama unataka ubishi wa kidini hamisha ujinga na umbumbumbu wako kwenye jukwaa la kidini.
Ukweli ni kuwa mabadiliko ya vitabu vyote vya dini inafanywa kutokana na mabadiliko ya matumizi ya maneni bila kuharibu maana iliyokusudiwa, na unapaswa kuelewa kuwa Bible imetafsiriwa kwa lugha nyingi sana ili kila mwanadamu aisome pasipo kuwa mtumwa wa kiarabu, original Bible was written in Acient/classic hebrew, Greek and aramaic (lugha iliyokwisha kufa-haipo).
Kwa mfano miaka ya nyuma 1970-1990's hapa Tanzania, neno shoga lilimaanisha rafiki wa kike hata kwenye kamusi....leo ukisikia mtu anasema kuwa ni shoga inaambatana na maana nyingine ya ms.enge.
Sas ukisoma classic NIV au king james version ya kwanza kabisa usitegemee kuona maneno yamefanana kwa sababu ya mabadiliko ya lugha, likewise qurani, tunaoisoma tunaelewa...tatizo kubwa wewe ni mmoja wa watu mnaopenda umbeya-kusimuliwa simuliwa tu hovyo hovyo vitu ambavyo kwa uvivu wa akili yenu hamtaki kuvichunguza.
Ndio ndugu ndani ya Biblia Takatifu imeandikwa haimpasi mwanamke kuvaa mavazi yanayomsitiri mwanamume na mwanamume vivyohivyo haimpasi kuvaa mavazi yanayomsitiri mwanamke na pia vazi lolote utakalolionea haya au aibu ni dhambi kwako.