hapo kwenye red acient/classic arabic haiwezekani ikafanana na modern arabic, acha uongo kama unataka ubishi wa kidini hamisha ujinga na umbumbumbu wako kwenye jukwaa la kidini.
Ukweli ni kuwa mabadiliko ya vitabu vyote vya dini inafanywa kutokana na mabadiliko ya matumizi ya maneni bila kuharibu maana iliyokusudiwa, na unapaswa kuelewa kuwa Bible imetafsiriwa kwa lugha nyingi sana ili kila mwanadamu aisome pasipo kuwa mtumwa wa kiarabu, original Bible was written in Acient/classic hebrew, Greek and aramaic (lugha iliyokwisha kufa-haipo).
Kwa mfano miaka ya nyuma 1970-1990's hapa Tanzania, neno shoga lilimaanisha rafiki wa kike hata kwenye kamusi....leo ukisikia mtu anasema kuwa ni shoga inaambatana na maana nyingine ya ms.enge.
Sas ukisoma classic NIV au king james version ya kwanza kabisa usitegemee kuona maneno yamefanana kwa sababu ya mabadiliko ya lugha, likewise qurani, tunaoisoma tunaelewa...tatizo kubwa wewe ni mmoja wa watu mnaopenda umbeya-kusimuliwa simuliwa tu hovyo hovyo vitu ambavyo kwa uvivu wa akili yenu hamtaki kuvichunguza.