Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

hope.1985. wewe hunauelewa wowote kuhusu Rc. tena futa hiyo kaul na usiiandike tena hapa thn hizo sanamu unazozisema wewe zinakusumbua nini. usituletee upumbavu wako hapa wewe kama kanisan kwenu wanashindwa kuwafundisha mambo yanayo wahusu nyie mnaanza kufundishwa mambo ya Rc ur wrong hakuna mchungaj wakisabato anaeelewa imani ya Rc hata kidogo. kama huwa mnalishana matangopol huko msituletee hapa.
 
Siamini katika falsafa ya kutoleana maneno ya kejeli ila ninachoweza kukuambia ni kuwa umekariri na unakosa "exposure". Kwa taarifa tu ni kuwa vazi rasmi la wanaume nchini Scotland ni sketi, kwa hiyo usikariri ukafikiri nchi zote ziko kama ya kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…