We nan alikuambia sket ni ya kike?
Acha ubazoka maandko yanaeleza waziwazi kuwa nanukuu 'je maumbile yenu hayawafundishi?'
mfano mdogo juu ya andko hlo suruali imetengenezwa kwa stail ambayo hta mwanaume akihtaji kukojoa simple anavuta zip pemben pale anamwaga yake hata kama kuna mtu anapita ni vigumu kuona utupu vivyo hvo kwa mwanamke akiwa na sket nzur au gaun lake kulingana na maumbile yake akijisaidia aja ndogo hata kama yuko safarin kwe kuchmba dawa huezi ona utupu wake anakua kama kachuchumaa 2 kumbe anafanya yake
Achilia mbali hlo biblia ishazungumza katika Kumbukumbu la Torati 22 : 5 mwanamke asivae mavaz ya mwanaume na mwanaume vivyo hvo, kama ukiona biblia imeshatofautisha hvo bhasi ujue kuna mavazi ya kiume ambayo ni pamoja na suruali na mavazi ya kike ambayo ni sketi.
usitake kutuhalalishia hpa kua suruali haikuwekwa kwa wanaume tu, kwanini usijiulize mbna sketi ziliwekwa kwa wanawake tu? Vitu vingne unatakiwa kutumia akili kidogo tu ila kwasababu wanadamu tunapenda kufarijiana ndo maana tunakuja na mambo kuyahalalisha.
NOTE: suruali ni vazi la kiume tu na sketi ni vazi la kike tu
kama unafikiri kuna suruali za kike na kiume bhasi buni na sketi za kiume...