Waingereza na hadithi ya sungura na fisi..

Waingereza na hadithi ya sungura na fisi..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Ni kama zile hadithi tulizohadithiwa na mabibi zetu.. kwamba sungura Ana urafiki na fisi.. Kobe anamshinda mbio sungura,..na mingine kibao...
ni kama vile waingereza wanavyotuaminisha kuwa ligi yao ni bora duniani.. kiuwezo, kifedha,....
lakini kwa uhalisia kuna mambo mawili tofauti ubora ndani yake kuna uwezo..
Umaarufu ndani yake kuna mvuto....
Ligi ya epl ni ligi maarufu duniani.. inatazamwa na wengi sababu watu wameweka pesa yao palé.. ile ni ligi maarufu kutokana na kuwa na matangazo mengi kila wiki so watu wameacha ligi nzuri na na kwenda kwenye ligi yenye business ndani yake...
ukienda kwenye ubora wa team moja moja.. ni Liverpool pekee ndo angalau imeleta mwanga baada ya msimu uliopita kutinga final uefa.. hao wengine wote walitoka kwa aibu.. pep Guardiola na man City yake walipigwa bao sita na monaco...
Man u nae akanyooshwa na Sevilla.. kiujumla epl uwezo wao ni Mdogo tofauti na ligi nyingine.
Mchezaji yeyote yule team ya maisha yake ni Barcelona au Madrid!... tumeshuhudia wachezaji wakiforce kuuzwa kwenda la Liga.. philipe coutinho, thibaut courtouis..na wengine wengi na bado unajiuliza why mchezaji anaforce kuondoka kwenye hiyo ligi nzuri halafu aende kwa ligi mbovu??...na tena huko analipwa kidogo tofauti na alipotoka!??? jibu kaa nalo!
ukienda kwa team yao ya taifa ndo usiseme! wamechukua wc mara moja miaka ya nyuma sana huko... tena final ilikuwa na utata sana...hichi kikosi cha sasa hivi angalau kimeleta mwanga kidogo... kiujumla hata soka wanalocheza ni lile man to man.. ndo maana wakikutana na na team zinazocheza box to box huwa wanapata tabú sana.... kiufupi hadithi za sungura na fisi... yaani fisi Ana urafiki na sungura!, tumezichoka!!...

"mchizi kichizi "
 
Kwahiyo Barcelona alipopigwa na Juve 3 bila ndo ina maana ligi ya Serie A ni bora kuliko La Liga? Tafuta hoja nyingine ila hii uliyoleta bila kupepesa maneno ni ya kipuuzi.
tunaangalia ubora wa mashindano kiujumla... kama hivi... Misimu 11 iliopita team kutoka la Liga zimetawala uefa... yaani wanapokelezana tuuu... sasa wewe na hicho kichwa umewaza mbali sana... kwanza usifananishe seria A, la Liga na hiyo epl yenu ambayo wanacheza mpira kama mieleka bila mbinu...
 
Kwahiyo Barcelona alipopigwa na Juve 3 bila ndo ina maana ligi ya Serie A ni bora kuliko La Liga? Tafuta hoja nyingine ila hii uliyoleta bila kupepesa maneno ni ya kipuuzi.
Alipigwa mechi zenyewe ndo zile hatua ya makundi!???😬😬 pole sanaa.... kama ndo unapima kwa mechi moja.... basi spurs alimfunga Madrid uefa msimu uliopita hatua ya makundi!!! basi hapo spurs ni bora???? na je mwisho wa siku bingwa alikuwa nani??

Fikiria mara mbili...
 
roma alimfanya nini barcelona!?
 
ww naye ndo wale wale umesoma vizuri au ndo nyie ngumbaru??... usipime kwa mechi moja!.. ouk Roma Baada ya kumtoa Barça akfanya nini?? alipata nini??? bingwa alikuwa nani??
kwani madrid kashinda mechi ngapi uefa msimu uliopita na liverpool kashinda ngapi!?..nani bora kuliko mwenzake?
 
kwani madrid kashinda mechi ngapi uefa msimu uliopita na liverpool kashinda ngapi!?..nani bora kuliko mwenzake?
Hahaha asee we jamaa!!... mbona unajiabisha ivyoo... Suala ni mafanikio. umeshinda mechi ngapi lakini umepata nini kupitia hizo mechi???
 
Hahaha asee we jamaa!!... mbona unajiabisha ivyoo... Suala ni mafanikio. umeshinda mechi ngapi lakini umepata nini kupitia hizo mechi???
mbona unabadilika tena!!..spurs kampiga madrid nje ndani,ukasema kapigwa mara moja,barce kwa roma hivohivo..sasa liver na madrid walifika fainali..nisaidie,nani kashinda mechi nyingi kuliko mwenzake!?..
 
wewe hivi mzima kweli???? mchongo mzima ni mafanikio ya team liver kwenye ligi alimaliza wa ngapi??? toti je uefa alibeba???
Roma je uefa alibeba na hata huko seria A alichukua nini??? ni sawa na chizi kwenda umbali mrefu halafu anarudi na makopo!!
 
Sijawahi ona mtu akianzisha uzi humu akiiponda ligi ya Hispania,Italy,au ufaransa ila mara nyingi ukianzishwa uzi basi ni wa kuiponda ligi ya Epl,hii inaonesha wazi kuwa mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
 
achana na kitu cha EPL weweeee. kuhusu timu ya taifa n zero lkn khs klabu weka mbali na vitoto.
hahaha nitajie hata team yeyote ya epl mara ya mwisho kuchukua hata uefa ni lini??? na team ipi hiyo??
najua utaenda kugoogle..
 
Sijawahi ona mtu akianzisha uzi humu akiiponda ligi ya Hispania,Italy,au ufaransa ila mara nyingi ukianzishwa uzi basi ni wa kuiponda ligi ya Epl,hii inaonesha wazi kuwa mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
Miti mingine sumu usidhani kila matunda yanaliwa... leta fact na sio hizo ngojera
 
Back
Top Bottom