Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ni kama zile hadithi tulizohadithiwa na mabibi zetu.. kwamba sungura Ana urafiki na fisi.. Kobe anamshinda mbio sungura,..na mingine kibao...
ni kama vile waingereza wanavyotuaminisha kuwa ligi yao ni bora duniani.. kiuwezo, kifedha,....
lakini kwa uhalisia kuna mambo mawili tofauti ubora ndani yake kuna uwezo..
Umaarufu ndani yake kuna mvuto....
Ligi ya epl ni ligi maarufu duniani.. inatazamwa na wengi sababu watu wameweka pesa yao palé.. ile ni ligi maarufu kutokana na kuwa na matangazo mengi kila wiki so watu wameacha ligi nzuri na na kwenda kwenye ligi yenye business ndani yake...
ukienda kwenye ubora wa team moja moja.. ni Liverpool pekee ndo angalau imeleta mwanga baada ya msimu uliopita kutinga final uefa.. hao wengine wote walitoka kwa aibu.. pep Guardiola na man City yake walipigwa bao sita na monaco...
Man u nae akanyooshwa na Sevilla.. kiujumla epl uwezo wao ni Mdogo tofauti na ligi nyingine.
Mchezaji yeyote yule team ya maisha yake ni Barcelona au Madrid!... tumeshuhudia wachezaji wakiforce kuuzwa kwenda la Liga.. philipe coutinho, thibaut courtouis..na wengine wengi na bado unajiuliza why mchezaji anaforce kuondoka kwenye hiyo ligi nzuri halafu aende kwa ligi mbovu??...na tena huko analipwa kidogo tofauti na alipotoka!??? jibu kaa nalo!
ukienda kwa team yao ya taifa ndo usiseme! wamechukua wc mara moja miaka ya nyuma sana huko... tena final ilikuwa na utata sana...hichi kikosi cha sasa hivi angalau kimeleta mwanga kidogo... kiujumla hata soka wanalocheza ni lile man to man.. ndo maana wakikutana na na team zinazocheza box to box huwa wanapata tabú sana.... kiufupi hadithi za sungura na fisi... yaani fisi Ana urafiki na sungura!, tumezichoka!!...
"mchizi kichizi "