Waingereza wamesaka ushindi na wameukosa

Ameelewa sema ubishi tu. Ligi ya Uingereza ni ya rugby

Sawa. Content inasema timu za uingereza.

Mkuu EMT, waingereza=timu za uingereza

Nilidhani kwenye soka kuna tofauti kati ya timu na klabu?

Nilidhani kwenye soka timu inajumuisha tuu wachezaji wanaocheza uwanjani wakati fulani katika mechi fulani?

Nilidhani tofauti na timu, neno klabu ni pana zaidi na linajumuisha the whole association?

Ipi fasaha? Timu za Uingereza au klabu za Uingereza? Maana nikiangalia majina yao yanaishia na FC aka football club.
 
Last edited by a moderator:

Nilifikiri mkanganyiko ni neno 'za waingereza' kwamba zina wachezaji was kiingereza au zinatoka nchini uingereza. Nafikiri mleta mada alimaanisha timu au klabu za Moira zinazotoka uingereza ambazo ni zinawachezaji kutoka nchi mbalimbali.

Kuhusu klabu na timu kwangu mimi ni kitu like kile ingawa ukisema timu mara nyingi unakuwa Una refer wachezaji na ukisema klabu unajumuisha wachezaji na wafanyakazi na kila kitu kuhusu intended subject.
 
Bado waingereza hawajaupata ushindi. Sare ya 2-2 na PSG ya jana,imeiondoa kwenye mashindano Chelsea. Wamebaki Arsenal na Man City watakaocheza juma lijalo
 

italy mara 2. inter na ac milan
 
uingereza kama ni tanzania maneno mengi kujisifu kwingi wakiingia kwenye michuano mikubwa hawafanyi chochote halafu wataanza kutafuta visababu angalia hata timu yao ya taifa ukiisikiliza kwenye vyombo vya habari utafikiri hakuna timu nyingine bora lakini wakitia mguu hawavuki hata raund ya kwanza au wakivuka wanaishia robo fainali
 
myao wa tunduru usione aibu kuirudia timu yako ya zamani.Karibu Turin,tuko vizuri sasa,rudi tu baba.cc Mourinho
ukiwa hai usikose kuwaangalia bianconeri wakinyanyua ndoo hiyo tarehe 6 june mwaka huu pale Olympiastadion,Berlin Ujerumani....mwaka huu ni kimyakimya!....jana tumecheza kwa discipline sana!tunarudisha heshima ya calcio!yule morata mtu mbaya ana kasi ya umeme!sioni wa kumzuia ulaya ya leo!....yule marchisio ndo sina haja ya kumzungumzia kabisa!shughuli inajulikana!..........kwenye uzio wa uani kuna askari arturo vidal!wale BVB wamejitahidi sana kula thalatha kwani wangefanya mchezo wangekula hamsa
 
Katika Europa kwa miaka 10 iliyopita
Spain wamechukua Mara 6
England Mara 1 tena na big club Chelsea.
Hii inamaanisha hata kwenye ligi ya kati bado Spain inasumbua.

Hv ile Man tunampiga chelsea kwa penalt ilikuwa mwaka gani kweli? Mbona sijauona
 
Leo Everton kakamilisha safari ya timu za Uingereza,Si Uefa wala Europa England kote chaliiiiiiiii nyang'anyang'a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…