EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Ameelewa sema ubishi tu. Ligi ya Uingereza ni ya rugby
Sawa. Content inasema timu za uingereza.
Mkuu EMT, waingereza=timu za uingereza
Nilidhani kwenye soka kuna tofauti kati ya timu na klabu?
Nilidhani kwenye soka timu inajumuisha tuu wachezaji wanaocheza uwanjani wakati fulani katika mechi fulani?
Nilidhani tofauti na timu, neno klabu ni pana zaidi na linajumuisha the whole association?
Ipi fasaha? Timu za Uingereza au klabu za Uingereza? Maana nikiangalia majina yao yanaishia na FC aka football club.
Last edited by a moderator: