Waipofanikiwa Kukutumia kwa Manufaa yako

Waipofanikiwa Kukutumia kwa Manufaa yako

Hata kwenye maisha sifa unasaidia sana ndugu ina gharama yske
 
Mara Wasipofanikiwa kukutumia kwa malengo yao watakuita Bahiri. Iwe ndugu, marafiki au, mpenzi.

Katika kitu Hatari kwenye Biashara ni kusifiwa kua unatoa sana Pesa, Biashara lazima ikushinde na itakufa hasa hizi Biashara Zetu za kutafuta pesa ya kula.
Ukisikia Mademu wanakuita Yule kaka ni Bahiri Shukuru sana Mungu.
 
Ukisikia Mademu wanakuita Yule kaka ni Bahiri Shukuru sana Mungu.
Ukiona Demu anakusifia Jua wewe, unatimiza malengo yake, na anapata Faida kupitia wewe, kama Faida kwako mwanamke hakuna lazima Uhusiano ufe.
 
Nishatumika sana kama nguvukazi huko nyuma bila manufaa yoyote, nilichotaraji kukipata nikaambulia nyoya, hakyanani nilipoteza muda mwingi sana.
 
Nishatumika sana kama nguvukazi huko nyuma bila manufaa yoyote, nilichotaraji kukipata nikaambulia nyoya, hakyanani nilipoteza muda mwingi sana.
Haaaa pole, mi mara Nyingi mambo mengi huwa nayatazama kibiasharq zaidi. Faida Tupate sote sio Faida ziwe Upande mmoja tu.
 
Haaaa pole, mi mara Nyingi mambo mengi huwa nayatazama kibiasharq zaidi. Faida Tupate sote sio Faida ziwe Upande mmoja tu.
Acha tu mkuu kuna pahala nilikua na udhaifu ambao naona bado pia haujanitoka.
 
Back
Top Bottom