Wairan washangilia Marekani kuifunga timu yao

Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.

Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.

Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Inamaana kipindi cha ramadhani huko znz watu hawali?
 
Hadi wawe mashoga
Ushoga ni tabia ya mtu. Mbona huko Mombasa ambapo waislam ni wengi lkn mashoga wapo? Hapa Tanzania hakuna mashoga?
Mbona wewe haujawa shoger?
Unakumbuka Sodoma na Gomora? Unakumbuka Mungu anaichoma moto hii miji ilikuwa kipindi gani?
 
Anaekula anatakiwa akale nyumbani kwake au hotelini kwenye chumba chake, siyo barabarani.
Kwahiyo mtu akila umemtamanisha? Mambo km haya wairan wameyachoka.
Wakristo hufunga lkn huwezi sikia wamembughuzi mtu.
Nilisoma shule moja ya kiislam Mwanza. Kuna kiustadhi fulani kinapita na daftari kinaandikisha majina ya watu wenye majina ya kiislamu.
Sasa wasiende kuswali, kanakuja na mboko. Walikuwa wanachapwa mboko sasa unajiuliza nilazima kuswali?
 
Inamaana kipindi cha ramadhani huko znz watu hawali?
Unaanzaje kula? Kipindi cha Ramadhan. Wamama ntilie na sehemu zote zinazouza chakula zinafungwa hiyo ni lazima.
Upo nje unawasha moto au unapika wanakuja watu na viboko wakuchape.
Upo sehemu umekaa mtaani unakula hata miwa unashangaa hawa hapa na viboko.
 
nakazia
ni upuuzi wa hali ya juu.. yaani wale wapuuzi wakishavaa makobazi na yale magauni ya waarabu wanajiona wamekata tiketi ya peponi halafu walivyo wapuuzi wakija kwako bila kuchinja wao hawali
Had nyama ya ngombe watataka wachinje wao?
 
Yaan ule mnyama aliechinjwa na kafir?????hapana kwa kweli
nakazia
ni upuuzi wa hali ya juu.. yaani wale wapuuzi wakishavaa makobazi na yale magauni ya waarabu wanajiona wamekata tiketi ya peponi halafu walivyo wapuuzi wakija kwako bila kuchinja wao hawali
 
Kuswali ni lazima bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…