Wairan washangilia Marekani kuifunga timu yao

Wairan washangilia Marekani kuifunga timu yao

Kwahiyo mtu akila umemtamanisha? Mambo km haya wairan wameyachoka.
Wakristo hufunga lkn huwezi sikia wamembughuzi mtu.
Nilisoma shule moja ya kiislam Mwanza. Kuna kiustadhi fulani kinapita na daftari kinaandikisha majina ya watu wenye majina ya kiislamu.
Sasa wasiende kuswali, kanakuja na mboko. Walikuwa wanachapwa mboko sasa unajiuliza nilazima kuswali?
Yasiyokuhu achana nayo **** wewe
 
Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.

Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.

Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Dini ya kulazimisha.
Ndipo Ukristo unaposhinda.
Imani ni hiari.
Imani ya kulazimisha ni utumwa kama itumwa mwingine.
 
Unaanzaje kula? Kipindi cha Ramadhan. Wamama ntilie na sehemu zote zinazouza chakula zinafungwa hiyo ni lazima.
Upo nje unawasha moto au unapika wanakuja watu na viboko wakuchape.
Upo sehemu umekaa mtaani unakula hata miwa unashangaa hawa hapa na viboko.
Hiyo miwa nani anakuuzia ikiwa wauza vyakula hawaruhusiwi?
 
Dini ya kulazimisha.
Ndipo Ukristo unaposhinda.
Imani ni hiari.
Imani ya kulazimisha ni utumwa kama itumwa mwingine.
Hehehe, eti ukristo unashinda, hujui huko kwenye ukristo kuna kulazimishana mfano kwenda jumuiya na kutoa michango la sivyo ukifa wanakususa kukuzika kwa taratibu za kanisa? Au huko sio kulazimishana?
 
Wanapigwa?
 
Unaanzaje kula? Kipindi cha Ramadhan. Wamama ntilie na sehemu zote zinazouza chakula zinafungwa hiyo ni lazima.
Upo nje unawasha moto au unapika wanakuja watu na viboko wakuchape.
Upo sehemu umekaa mtaani unakula hata miwa unashangaa hawa hapa na viboko.
Haya ni mazoea Tu.....nangoja wapitishe Sheria ya bunduki harafu warete huo ushoga wao utasikia Tu ......wasijulikana wamerudi tena
 
Unaweza kuta shetani ni ww.
Manake shetani Magu alitupa umeme,maji uwajibikaji makazini.

Mbona Kuna watu ni matajiri kwa kutoa kafara watoto wao?. Unaleta umeme huku roho za watanzania wawili azijulikani zipo wapi mpaka leo. Yule alikuwa shetani halisi.
 
Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.

Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.

Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Wanadai eti " wanawatamanisha wale waliofunga". Cha kushangaza sasa "mtu mwingine kula kuna haribu vipi funga yako". Huwezi pata jibu.
 
Wapumbavu nyinyi. Mnaleta habari za Mwananyamala Kidile
Ukweli tu imani ya kulazimishana ni ya kizamani sana. Ni ya agano la kale.

Lakini pia kumlazimisha mtu aenende unavyotaka wewe , inakusaidia kitu gani wewe binafsi kuupata utukufu ?!. Muache mtu aipoteze nafsi yake, ila wewe tenda mema Mungu akuhesabie mazuri.
 
Back
Top Bottom