ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kuna ubaya gani hapo!?Kama aliweza jimilikisha nyumba ya serikali kwa bei ya chee.vp tumtoe ktk kundi la wezi wa nchi hii????
hata ungekuwa ww ungefanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ubaya gani hapo!?Kama aliweza jimilikisha nyumba ya serikali kwa bei ya chee.vp tumtoe ktk kundi la wezi wa nchi hii????
Yasiyokuhu achana nayo **** weweKwahiyo mtu akila umemtamanisha? Mambo km haya wairan wameyachoka.
Wakristo hufunga lkn huwezi sikia wamembughuzi mtu.
Nilisoma shule moja ya kiislam Mwanza. Kuna kiustadhi fulani kinapita na daftari kinaandikisha majina ya watu wenye majina ya kiislamu.
Sasa wasiende kuswali, kanakuja na mboko. Walikuwa wanachapwa mboko sasa unajiuliza nilazima kuswali?
Dini ya kulazimisha.Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Hiyo miwa nani anakuuzia ikiwa wauza vyakula hawaruhusiwi?Unaanzaje kula? Kipindi cha Ramadhan. Wamama ntilie na sehemu zote zinazouza chakula zinafungwa hiyo ni lazima.
Upo nje unawasha moto au unapika wanakuja watu na viboko wakuchape.
Upo sehemu umekaa mtaani unakula hata miwa unashangaa hawa hapa na viboko.
Hehehe, eti ukristo unashinda, hujui huko kwenye ukristo kuna kulazimishana mfano kwenda jumuiya na kutoa michango la sivyo ukifa wanakususa kukuzika kwa taratibu za kanisa? Au huko sio kulazimishana?Dini ya kulazimisha.
Ndipo Ukristo unaposhinda.
Imani ni hiari.
Imani ya kulazimisha ni utumwa kama itumwa mwingine.
Yaani na wewe unaamini maneno ya mgalatia aliyerogwaUjinga mkubwa huu.
Wanapigwa?Hehehe, eti ukristo unashinda, hujui huko kwenye ukristo kuna kulazimishana mfano kwenda jumuiya na kutoa michango la sivyo ukifa wanakususa kukuzika kwa taratibu za kanisa? Au huko sio kulazimishana?
Ishu sio kupigwa ishu kulazimishana,Wanapogwa?
Haya ni mazoea Tu.....nangoja wapitishe Sheria ya bunduki harafu warete huo ushoga wao utasikia Tu ......wasijulikana wamerudi tenaUnaanzaje kula? Kipindi cha Ramadhan. Wamama ntilie na sehemu zote zinazouza chakula zinafungwa hiyo ni lazima.
Upo nje unawasha moto au unapika wanakuja watu na viboko wakuchape.
Upo sehemu umekaa mtaani unakula hata miwa unashangaa hawa hapa na viboko.
Unaweza kuta shetani ni ww.
Manake shetani Magu alitupa umeme,maji uwajibikaji makazini.
Hizo propaganda zenu hazina ukweli ww.
habari za vijiweni
Wenye pesa hawana roho za chuki zisizoisha kama Ke, acha utoto we zwazwa[emoji57]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
ndio mjue hamna akiliYaan ule mnyama aliechinjwa na kafir?????hapana kwa kweli
Hasa kipindi makonda alivyojitanguliza timu ya taifa. Hata mimi ilinichefua sana.Kipindi cha JPM hata mi nilishangilia timu pinzani zilipocheza na Tanzania
wapumbavu tu hawaHad nyama ya ngombe watataka wachinje wao?
Alikuwa ibilisi anayekamata majizi. Nadhani na ww una viashiria vya uwizi manake jamii hiyo ndiyo inamchukia balaa!
Wapumbavu nyinyi. Mnaleta habari za Mwananyamala KidileAlikuwa ibilisi mtoa roho. Saanane na Azory, lwajabe na ponapona lissu
Wanadai eti " wanawatamanisha wale waliofunga". Cha kushangaza sasa "mtu mwingine kula kuna haribu vipi funga yako". Huwezi pata jibu.Kumuua mtu kisa hajafunika kichwa ni imani za kijinga sana. Inaonekana wairan wamechoka.
Mbona Qatar wanaiman yao lkn haijafikia hatua ya kuua mtu.
Pale Zanzibar kipindi cha Ramadhan wanatembea na fimbo kuchapa watu wanaokula.
Ukweli tu imani ya kulazimishana ni ya kizamani sana. Ni ya agano la kale.Wapumbavu nyinyi. Mnaleta habari za Mwananyamala Kidile