Wairani walioko Australia wazuia basi la timu ya wanawake ya Iran baada ya wachezaji kutoa ishara ya kuomba msaada wakihofia adhabu kali wakirudi Iran

Wairani walioko Australia wazuia basi la timu ya wanawake ya Iran baada ya wachezaji kutoa ishara ya kuomba msaada wakihofia adhabu kali wakirudi Iran

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Basi lililokuwa likibeba timu ya wanawake ya soka ya Iran lilipokuwa linatoka, hali ghafla ikageuka kuwa ya kutisha pale wachezaji walipoanza kutoa ishara ya kuomba msaada wakiwa ndani ya basi.

Yote haya yalianza baada ya kukataa kuimba wimbo wa taifa katika mchezo wao wa kwanza wa kimataifa nchini Australia, jambo ambalo lilisababisha watawala wa Iran kwenda kwenye kituo cha televisheni ya taifa siku iliyofuata na kutishia “adhabu kali” mara wanaporudi, wakiwa wamepewa utambulisho mpya wa “wasaliti wa vita wasio na msamaha.”

Wairani wanaoishi Austalia walikimbilia haraka kuziba barabara na kuzuia basi lisitoke, lakini walinzi wa usalama wa Australia walishiriki na kutuzuia kuingilia kati.





 
Back
Top Bottom