sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana kiongozi
Lakinii ipeleke kanisani hiyo.Yes, lakiniii.....
Mzee baba...Lakinii ipeleke kanisani hiyo.
Ikafanye nini?Lakinii ipeleke kanisani hiyo.
Haha eeh aseeh.
Saita..Ikafanye nini?
Hahaha,kweli leo tupo Katesh,nangwa,Endasaki mpaka Dareda mission!
Balangdalalu- Hydom - Karatu [emoji3][emoji3]Hahaha,kweli leo tupo Katesh,nangwa,Endasaki mpaka Dareda mission!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,unaharibu uzi wa mwenzio. Niko na jamaa ananisaidia kutafsiri ingawa kuisoma hii lugha inampa taabu. Mods kuna maneno yasiyofaa yanatumika
Kama anakuambia kuna lugha mbaya inatumika basi hataki uendelee kusoma huu uziHapana,unaharibu uzi wa mwenzio. Niko na jamaa ananisaidia kutafsiri ingawa kuisoma hii lugha inampa taabu. Mods kuna maneno yasiyofaa yanatumika
daktantonke gan inosGitlasi ka dasu iraqw a maluyese is gar na lehh baka ee iya tos kahi ba gara hatlile
Sent using Jamii Forums mobile app