Wairaqw wa JF.

Wairaqw wa JF.

Kinatumiwa na Kabila gani
Waalagwa au jina lingine wanafahamika kama waasi
Nikabila lililopo Wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma
Kabila la waasi au waalagwa huongea lugha ijulikanayo kama chasi au kialagwa
Kwa ufafanuzi zaidi Google utapata mengi zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom