waisilamu acheni kulalamikia wakristo katika elimu... pelekeni watoto wenu shule jamani!!!

Acha pumba hizo unajua kilicho mtoa kigoma malima? Ngoja nikukumbushe alitoa majina akaweka namba nan alifanya vizur maneno yenu ya kijinga haya yatakuja kuwatokea puan

Hizo zilishathibitika kuwa ni porojo, utaratibu wa namba ulianza kabla ya malima!
 
sasa mzee unataka jamii iwe na watu lelemama? kwahiyo kufundishwa kongfuu imekua ni udini tena? basi wachina wengi ni waislamu teseme hivo pia, lol.
 
Dawa nyingi huwa ni chungu, lakini ndizo hzo zinazotibu.
Wasilamu pokeeni ukweli huo mchungu, na ukweli huo utawaweka huru.
Wenye uelewa wao tayari walishachukua hatua na wako mbali.

Ona mfano jamaa hapo juu anayekwenda kwa jina la rashaki2014 anaanza kutoa mifano ya kipuuzi ya enzi za akina Kigoma Malima miaka ya 90's...ninini hiyo?
Mkuu, stop living in the past, u hv a handful of future waiting for you, acha utetezi wa jadi ya dini, u wll get to nowhere.
Mwisho wako unakuwa ni kutafuta mabanzi na misumari 3/4 kilo, ugongegonge ili kupata kijukwaa, unafuga madevu mengi unakopa na spika kwa mwarabu ili uendeshe mhadhara wa lawama na kashfa, halafu ukusanye swadaka za wasiojitambua.

Ndugu zetu somesheni watoto wajiepushe na ujobless na kulalama.
 
Last edited by a moderator:

mambo waliyoyaibua akina Prof. Kighoma Malima yalikuwa sio ya kupuuza hata kidogo.
Hayo ndio yalikuwa moja ya misingi imara ya ubaguzi na ukundamizaji uliofanywa dhidi ya waislam katika suala la elimu.
 
Mkuu sio kwamba hawajui yanayoendelea, bali kinachoungumzwa hapa ni kebehi za makusudi au inawezekana kweli wakawa hawalioni tatizo.
Basi kiungwana, ndio tunawajibu kuwa wito umesikika.
Tutaacha kwenda Madrasa ili nasi twende darasani tuweze kuwa wasomi.
 
Sawasawa mkuu nimekuelewa vizuri.
 
Kweli tusome wengi zaidi? Mbona Dr Dau na Prof Kikula tu wamewatoa maneno mengi hivyo je tukiwa wengi zaidi mtakaa kimya kweli?
 
mambo waliyoyaibua akina Prof. Kighoma Malima yalikuwa sio ya kupuuza hata kidogo.
Hayo ndio yalikuwa moja ya misingi imara ya ubaguzi na ukundamizaji uliofanywa dhidi ya waislam katika suala la elimu.
Em nifungue macho kidogo, ni ubaguzi na ukandamizaji ipi unaofanywa? Wengine hatuuoni since muislamu na wa dini nyingine wote wanapeleka watoto wao shule wanazotaka, mtoto kulingana na grade zake anasonga hadi anapoishia, kuna kitu kinafanyika chini chini ya hiki? em eleza ili tujue isijekua wanaonewa kweli
 
Kweli tusome wengi zaidi? Mbona Dr Dau na Prof Kikula tu wamewatoa maneno mengi hivyo je tukiwa wengi zaidi mtakaa kimya kweli?

hahahaaa!! mkuu unamaanisha kwamba peace will interrupted.. eennh! if.. they go to school?

lakini mkuu, hii shu iwe serious bana, shule muhimu sana!

kama vile madrassa inavyosisitizwa, na formal education iwe hivyo hivyo... Tz itaendelea sana tu!
 
sasa mzee unataka jamii iwe na watu lelemama? kwahiyo kufundishwa kongfuu imekua ni udini tena? basi wachina wengi ni waislamu teseme hivo pia, lol.

mmhh.. mi nae sijui nimezidi ufukunyuku!

nimesikia kwamba misikiti mingi huwa ina special angle za kujifunzia kung-fu!!!

ofcourse sikuwa interested sana, ila nimeambiwa ni kwa ajili ya self defense..! hongereni sana kwa hilo!
 
Kauli ya haki yenye mwelekeo/makusudio ya baatwili.

mkuu.. pamoja na uswahili wangu! hapo kwenye bold nimechemka bana!!

by the way, tuachane na hilo.. tupelekeni watoto shule bila kuangalia jina wala dini yake!!

hii itaharakisha maendeleo na ustaarabu pia katika nchi yetu!
 
Hebu tafuta mfano mwingine wa kuelezea chuki yako dhidi yetu mkuu!!!!
Mbona kwingine wanafundishwa swimming! !!!!

Au ulitaka kuhusianshaje huo "ubishi" na vitu kama self defense,swimming,music class na hata skiing kwa nchi za baridi!!!!!!????

Proved with it......
 
hahahaaa!! mkuu unamaanisha kwamba peace will interrupted.. eennh! if.. they go to school?

lakini mkuu, hii shu iwe serious bana, shule muhimu sana!

kama vile madrassa inavyosisitizwa, na formal education iwe hivyo hivyo... Tz itaendelea sana tu!

Tunajitahidi kwenda shule mkuu na mimi nakubaliana na wewe, lakini wachache walioonda shule wakapata nyadhifa fulani nashangaa wanapopolewa mawe sana,sasa ndiyo maana nikatoa tahadhari.

Siku hizi Vyuo vikuu Alhamdulillah na sisi tupogo wakutosha tu.
 
Kinachonishangaza mimi hao wanaojiita wasomi katika nchi hii wameifanyia nini zaidi ya ufisadi? Nilitegemea wasomi ndiyo wangeiletea nchi maendeleo. Wasomi wenyewe kazi yao kulalamika tu hakuna kinachachofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…