Hayaa tumekusikiaaaaaaaa tutakazanaa
bold red unamaanisha nini hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayaa tumekusikiaaaaaaaa tutakazanaa
Acha pumba hizo unajua kilicho mtoa kigoma malima? Ngoja nikukumbushe alitoa majina akaweka namba nan alifanya vizur maneno yenu ya kijinga haya yatakuja kuwatokea puan
Dawa nyingi huwa ni chungu, lakini ndizo hzo zinazotibu.
Wasilamu pokeeni ukweli huo mchungu, na ukweli huo utawaweka huru.
Wenye uelewa wao tayari walishachukua hatua na wako mbali.
Ona mfano jamaa hapo juu anayekwenda kwa jina la rashaki2014 anaanza kutoa mifano ya kipuuzi ya enzi za akina Kigoma Malima miaka ya 90's...ninini hiyo?
Mkuu, stop living in the past, u hv a handful of future waiting for you, acha utetezi wa jadi ya dini, u wll get to nowhere.
Mwisho wako unakuwa ni kutafuta mabanzi na misumari 3/4 kilo, ugongegonge ili kupata kijukwaa, unafuga madevu mengi unakopa na spika kwa mwarabu ili uendeshe mhadhara wa lawama na kashfa, halafu ukusanye swadaka za wasiojitambua.
Ndugu zetu somesheni watoto wajiepushe na ujobless na kulalama.
mambo waliyoyaibua akina Prof. Kighoma Malima yalikuwa sio ya kupuuza hata kidogo.
Hayo ndio yalikuwa moja ya misingi imara ya ubaguzi na ukundamizaji uliofanywa dhidi ya waislam katika suala la elimu.
sasa hivi kutachafuka hapa, ngoja waje
Em nifungue macho kidogo, ni ubaguzi na ukandamizaji ipi unaofanywa? Wengine hatuuoni since muislamu na wa dini nyingine wote wanapeleka watoto wao shule wanazotaka, mtoto kulingana na grade zake anasonga hadi anapoishia, kuna kitu kinafanyika chini chini ya hiki? em eleza ili tujue isijekua wanaonewa kwelimambo waliyoyaibua akina Prof. Kighoma Malima yalikuwa sio ya kupuuza hata kidogo.
Hayo ndio yalikuwa moja ya misingi imara ya ubaguzi na ukundamizaji uliofanywa dhidi ya waislam katika suala la elimu.
Kweli tusome wengi zaidi? Mbona Dr Dau na Prof Kikula tu wamewatoa maneno mengi hivyo je tukiwa wengi zaidi mtakaa kimya kweli?
Sawasawa mkuu nimekuelewa vizuri.
hata kama ujumbe umetoka kwa bosi wao?
sasa watampiga nani?
mimi mwenyewe komandoo! teheee!!
sasa mzee unataka jamii iwe na watu lelemama? kwahiyo kufundishwa kongfuu imekua ni udini tena? basi wachina wengi ni waislamu teseme hivo pia, lol.
watasema tatizo "mfumo"
Kauli ya haki yenye mwelekeo/makusudio ya baatwili.
Hebu tafuta mfano mwingine wa kuelezea chuki yako dhidi yetu mkuu!!!!
Mbona kwingine wanafundishwa swimming! !!!!
Au ulitaka kuhusianshaje huo "ubishi" na vitu kama self defense,swimming,music class na hata skiing kwa nchi za baridi!!!!!!????
hahahaaa!! mkuu unamaanisha kwamba peace will interrupted.. eennh! if.. they go to school?
lakini mkuu, hii shu iwe serious bana, shule muhimu sana!
kama vile madrassa inavyosisitizwa, na formal education iwe hivyo hivyo... Tz itaendelea sana tu!
waisilamu pelekeni watoto wenu shule wapate elimu bora, acheni kuwalalamikia ndugu zenu wakristo na kudai kuwa wanapendelewa! hamna upendeleo katika elimu jamani!!! hii ni jitihada za kuaandaa taifa bora!
huu ni ujumbe wa mufti idd simba, kupitia magazeti leo!
wala sio mimi Excel!