waisilamu acheni kulalamikia wakristo katika elimu... pelekeni watoto wenu shule jamani!!!

waisilamu acheni kulalamikia wakristo katika elimu... pelekeni watoto wenu shule jamani!!!

Kwanza naomba ufahamu kutupia post hiyo haimaanishi lazima nitakua ni muislamu, naweza kua muislamu au la lkn lengo ni kuongea ukwl bila kupendelea dini uliopo. Pili sio kila unalolisikia likawa na ukweli ndani yake, unatakiwa kuchunguza ndo kama nia ni kujua ukweli. watu wengi hua wanafikiri misikiti ni sehemu ya watu kueneza ugaidi na kungfu ndo lengo lao hapana, boss kungfu na bastola ipi ina nguvu? ye akija na huu haa we unaachia moja tu mchezo umekwisha, lkn we huoni km kungfu ina faida ndani yke km vile kujiweka safi ki afya zaidi, na pia kuna dhulma ndg ndg km zile umetoka out na dadako umekutana na wahuni unajikinga na unamkinga na dadako huon km in faida? yale ni moja tu ya maisha lkn si km hao waislamu wanafanya hvo ili ziwasaidie kufanya vurugu, hapana. na kuhusu special angle sio ukweli boss, lengo ni kujiweka imara, km lengo la serikali la kuwafanya wanafunzi wapiti jeshi, lengo ni kujiweka imara na kuwa na heshima.
 
Back
Top Bottom