papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,352 Reaction score 2,036 Jul 29, 2025 #2 Inaruhusiwa
Hammer11 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2024 Posts 2,028 Reaction score 2,664 Jul 29, 2025 Thread starter #3 papag said: Inaruhusiwa Click to expand... Sawa
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,677 Reaction score 18,561 Jul 29, 2025 #4 Jinsi wanayo tamka maneno yake wakiomba kwa lugha inayoeleweke kwao itakuwa ni moja ya vichekesho: ona mfano; Allahu akbaru Allah mkubwaaa
Jinsi wanayo tamka maneno yake wakiomba kwa lugha inayoeleweke kwao itakuwa ni moja ya vichekesho: ona mfano; Allahu akbaru Allah mkubwaaa
Hammer11 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2024 Posts 2,028 Reaction score 2,664 Jul 29, 2025 Thread starter #5 Che mittoga said: Jinsi wanayo tamka maneno yake wakiomba kwa lugha inayoeleweke kwao itakuwa ni moja ya vichekesho: ona mfano; Allahu akbaru Allah mkubwaaa Click to expand... Hahaha Hahaha
Che mittoga said: Jinsi wanayo tamka maneno yake wakiomba kwa lugha inayoeleweke kwao itakuwa ni moja ya vichekesho: ona mfano; Allahu akbaru Allah mkubwaaa Click to expand... Hahaha Hahaha
M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,490 Reaction score 2,290 Jul 29, 2025 #6 Ala anasikia kiarabu tu hajui lugha nyingine yoyote
Mkwanzania JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,352 Reaction score 5,414 Jul 29, 2025 #7 Wanasema ndio lugha pekee ya Mwenyezimungu……waarabu walijua kuwashika watu maskio.
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,814 Reaction score 2,738 Jul 29, 2025 #8 Ukiwa ndani ya swala , maneno yoote yanatamkwa kiarabu tu Ukisujudu zile dua zako omba kimoyo moyo bila kutamka .Allah anasikia kilio cha moyo wako Pia ukitoa salamu unaomba dua hata kwa kilugha
Ukiwa ndani ya swala , maneno yoote yanatamkwa kiarabu tu Ukisujudu zile dua zako omba kimoyo moyo bila kutamka .Allah anasikia kilio cha moyo wako Pia ukitoa salamu unaomba dua hata kwa kilugha
M MELEKAHE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2023 Posts 2,230 Reaction score 8,337 Jul 29, 2025 #9 Allah anasikia ki arabu tu