Waislam inafaa kuomba kwa lugha isiyokuwa kiarabu?

Jinsi wanayo tamka maneno yake wakiomba kwa lugha inayoeleweke kwao itakuwa ni moja ya vichekesho: ona mfano;

Allahu akbaru
Allah mkubwaaa
 
Ala anasikia kiarabu tu hajui lugha nyingine yoyote
 
Wanasema ndio lugha pekee ya Mwenyezimungu……waarabu walijua kuwashika watu maskio.
 
Ukiwa ndani ya swala , maneno yoote yanatamkwa kiarabu tu

Ukisujudu zile dua zako omba kimoyo moyo bila kutamka .Allah anasikia kilio cha moyo wako

Pia ukitoa salamu unaomba dua hata kwa kilugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…