Waislam Kuliombea Taifa Ijumaa

Waislam Kuliombea Taifa Ijumaa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .

Screenshot_2023-12-12-22-07-50-1-1.png
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa mbalimbali kama yaliyotokea wilayani Katesh mkoani Manyara.

Maafa hayo yaliyosababisha vifo vya watu 89 hadi sasa yalitokea alfajiri ya Desemba, 2023 katika Mji Mdogo wa Katesh na vitongoji vya karibu vikiwemo vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta pamoja na vijiji vya Gendabi na Sarijandu.

Katika janga hilo watu 139 walijeruhiwa kati yao 120 wameruhusiwa huku 17 wakiendelea na matibabu hospitalini.

Mufti Zubeir ametoa maagizo hayo leo Jumanne Desemba 12, 2023 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza likiwemo la maafa ya Hanang, huku akitoa pole kwa waathirika wa tukio hilo.
 
Jambo jema Allah hufurahi zaidi mja wake anapo mlilia anapofikwa na mitihani!
 
Wanaomba Dua baada ya tukio au kabla

USSR
 
Ni wakati muafaka sasa Wataalamu wa Masuala ya Disasters and Risks Management and Control kwenda kwenye Mikusanyiko ya watu kama hiyo ili Watoe Elimu Dunia juu ya namna ya Kupambana, Kuthibiti au Kujihami na Majanga Mbalimbali.
Wataaamu wa kujitolea (Volunteers) wajitokeze ili kuweza kutoa Elimu kama hiyo kwa umma kwa sababu Serikali yetu inaonekana haiko interested na Jambo hil la kutoa Elimu ya Majanga kwa wananchi wake.
 
Mwafrika utamsikia anadua hadi ya koumbea Mvua wakati huko Uarabuni kwenyewe ni Jangwa lililosababishwa na Mvua hafifu.
 
Haya maombi yaliwahi kusaidia chochote?
 
Back
Top Bottom