kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Wasisahau kuomba kwajina la Yesu Kristo wa Nazareti 🙏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Mufti? Huyu alikuja Butiama wiki chache zilizopita.Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa mbalimbali kama yaliyotokea wilayani Katesh mkoani Manyara.
Maafa hayo yaliyosababisha vifo vya watu 89 hadi sasa yalitokea alfajiri ya Desemba, 2023 katika Mji Mdogo wa Katesh na vitongoji vya karibu vikiwemo vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta pamoja na vijiji vya Gendabi na Sarijandu.
Katika janga hilo watu 139 walijeruhiwa kati yao 120 wameruhusiwa huku 17 wakiendelea na matibabu hospitalini.
Mufti Zubeir ametoa maagizo hayo leo Jumanne Desemba 12, 2023 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza likiwemo la maafa ya Hanang, huku akitoa pole kwa waathirika wa tukio hilo.
Wasisahau kuomba kwajina la Yesu Kristo wa Nazareti [emoji1431]
Hili ni jambo la maana sanaShehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa mbalimbali kama yaliyotokea wilayani Katesh mkoani Manyara.
Maafa hayo yaliyosababisha vifo vya watu 89 hadi sasa yalitokea alfajiri ya Desemba, 2023 katika Mji Mdogo wa Katesh na vitongoji vya karibu vikiwemo vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta pamoja na vijiji vya Gendabi na Sarijandu.
Katika janga hilo watu 139 walijeruhiwa kati yao 120 wameruhusiwa huku 17 wakiendelea na matibabu hospitalini.
Mufti Zubeir ametoa maagizo hayo leo Jumanne Desemba 12, 2023 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza likiwemo la maafa ya Hanang, huku akitoa pole kwa waathirika wa tukio hilo.
Vp yule aliyeoa mtoto wa miaka 13??? Akajaza wake nane??? Acha basiii ustake tuseme yoote. Soma maandiko acha imani mizukayesu mwenyewe alikamatwa na mateja wakamtundika msalabani na misumari akashindwa kuondoa misumari akabaki kulia na kuomba nae asaidiwe