Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

Ngasere45

Senior Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
148
Reaction score
568
Waislamu naombeni mnijuze, kwani mwezi (moon) huwa mnauchukulia kama nini kwenye dini yenu?

Je, kuwaje mpaka mkawa mnafunga kipindi hiki cha Ramadhani kwa kuangalia mwandamo wa mwezi?
 
Mwezi ni alama ya kum tambua mwenyezi Mungu tu kama lilivyo jua na Nyota nyinginezo

Waislam kufunga mwezi wa Ramadhani ni Amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu

Na sio tunafunga kufuata mwandamo katika mwezi huu tu hapana

Bali tarehe na kalenda kamili ya kiislam inafuata mwandamo wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mzima
 
Mwezi ni alama ya kum tambua mwenyezi Mungu tu kama lilivyo jua na Nyota nyinginezo
Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ya kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo.

Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
 
Mwanzo wa mwezi mwandamo (mwezi unapoandama) pale unapokuwa mdogo.. mpaka unapopea...ndio hesabu ya siku za mwezi wa kiarabu. Na miezi yote huwa hivyo mpk kufikia mwaka mpya wa kiislam..hijiria
 
Mwanzo wa mwezi mwandamo (mwezi unapoandama) pale unapokuwa mdogo.. mpk unapopea...ndio hesabu ya siku za mwezi wa kiarabu. Na miezi yote huwa hivyo mpk kufikia mwaka mpya wa kiislam..hijiria
Kwa hio Leo mwezi umeandama?
 
Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ys kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo. Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Uwe unafanya basi kautafiti kidogo kabla ya kuandika

Idadi ya Waumini Duniani wanazidi kuongezeka huku upagani ukizidi kupungua

Hata Wachina walioongoza kwa upagani wameanza kuachana na upagani

Panua fikra zako uangalie ubora wa Dunia leo hii umechangiwa sana na uwepo wa dini ambazo zimechangia kupunguza tabia za uonevu, watu kuwa na subira, kusadia jamii zenye matatizo , watu kusamehe n.k yote hayo huyaoni?

Hata ukiangalia. matatizo ya Msongo wa mawazo yapo zaid maeneo yasiyo na dini na ndio sababu idadi ya Raia wanaojiua kwa Msongo wa mawazo Marekani ni kubwa kuliko Burundi or Somalia
 
Tunatumia mbinu ya kiasili kutambua majira ya mwaka mwezi na jua ndiyo sehem pekee mungu amemionesha mwanadamu kuhusu wakati ndiyo maana Mwezi unatupa idadi ya siku na hili jambo si kwa waislamu ila hata dini nyenginezo isipokuwa sisi tumeamua kufata Qurani ambayo imetuambia fungeni kwa kuona mwezi na kufungua kwa kuangalia mwezi.

Kwani kalenda la kawaida mwezi ina maana gani?

Kumbuka zamani miezi ilipewa majina kulingana na matukio hivyo hesabu ya siku inatokana kwa kuangalia mwezi.
 
Tunaanza kesho kufunga?
.
IMG-20230322-WA0011.jpg
 
Mimi kinachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe
Tunatumia mbinu ya kiasili kutambua majira ya mwaka mwezi na jua ndiyo sehem pekee mungu amemionesha mwanadamu kuhusu wakati ndiyo maana...
 
Inachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe.

Hazibadiliki, bali unalinganisha kalenda ya jua na ya mwezi, ukitumia ya mwezi tu hutoona mabadiliko
 
Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ys kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo. Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Huwa nashangaa sana critics wa uisilamu walivyo shallow kwenye elimu ya kiisilamu.

Mkuu dini yetu hatufundishwi vitu "blindly" kila kitu tunapewa hekma zake kwanini tumeamrishwa ikiwemo hiyo funga.

Tumeambiwa tufunge ili
1. Tupate Afya
2. Tuwe wachamungu
3. Tuweze kufeel masikini wanavyojisikia kipindi wana njaa na hawana chakula
4.kuwa na subira
5. Kusamehewa madhambi etc.

Hayo mambo ya kusamehewa dhambi tuachie sie tunaoamini ila mambo mengine yapo wazi faida za kufunga. Niliwahi kukuekea ramani ya kansa na jinsi kufunga kunavyosaidia.

Leo hii musilamu akisoma studies za kufunga imani yake inongezeka badala ya kupungua, sababu vitu vingi tulivyoambiwa kuhusu kufunga vipo on point.
 
H
inachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe
Hazibadiliki,Bali unalinganisha kalenda ya jua na ya mwezi,ukitumia ya mwezi tu hutoona mabadiliko
Pia bei hupanda kipindi cha ramadhani tu ila KWAREZMA huwa bei iko chini..??

Vile vile bei hizo zinapopanda wakati wa Ramadan wale wanaofunga KWAREZMA hawaathiriki na bei hizo?

Tufunge bila kulalama tupate AFIYA NJEMA
 
Kwarezma anafunga nani bna,mapadre wenyewe wanapiga gambe tu,kwarezma hufungua kwa kula futari ya mihogo,viazi nk!?
 
Mimi kinachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe
Qaresma nazani mnatumia mwezi huu wa kizungu au siyo?

Nakumbuka waislamu sisi mwakA jana tulikula sikukuu mwezi wa 5 au siyo na kulifunga ramadhani mwezi wa 4,okay sasa tunafunga mwezi wa 3 kwenda wa 4 yaani unasogea mbele au kurudi nyuma pia.

Miezi ya kiislamu ipo 12 kama ilivyo ya kizungu siku zetu tunahesabu kupitia mwezi hapa ndipo tunapopishana huku kwa kawaida unakuta mwezi una siku 31,30,29/29 lakini huku kwetu kuna 30 na 29 hivyo kuna siku zinapigana hapo.

Natumai nimekujibu
 
Mimi kinachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe
Mwezi wa kiisilamu una siku 29 ama 30 na mwezi wa Gregorian (calender tunayotumia) una siku 30 ama 31 hivyo kila mwaka kuna siku kadhaa hapo zinatofautiana kama 10 ama 20 hivi,
 
Back
Top Bottom