Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ya kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo.Mwezi ni alama ya kum tambua mwenyezi Mungu tu kama lilivyo jua na Nyota nyinginezo
Kwa hio Leo mwezi umeandama?Mwanzo wa mwezi mwandamo (mwezi unapoandama) pale unapokuwa mdogo.. mpk unapopea...ndio hesabu ya siku za mwezi wa kiarabu. Na miezi yote huwa hivyo mpk kufikia mwaka mpya wa kiislam..hijiria
Uwe unafanya basi kautafiti kidogo kabla ya kuandikaHaya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ys kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo. Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Tayari...Kwa hio Leo mwezi umeandama?
Tunaanza kesho kufunga?Tayari...
Boss unaenda kwanza kugoogle?Nitaandika baadaye ...
.Tunaanza kesho kufunga?
Tunatumia mbinu ya kiasili kutambua majira ya mwaka mwezi na jua ndiyo sehem pekee mungu amemionesha mwanadamu kuhusu wakati ndiyo maana...
Huwa nashangaa sana critics wa uisilamu walivyo shallow kwenye elimu ya kiisilamu.Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ys kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo. Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Pia bei hupanda kipindi cha ramadhani tu ila KWAREZMA huwa bei iko chini..??H
inachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe
Hazibadiliki,Bali unalinganisha kalenda ya jua na ya mwezi,ukitumia ya mwezi tu hutoona mabadiliko
Kwarezma anafunga nani bna,mapadre wenyewe wanapiga gambe tu,kwarezma hufungua kwa kula futari ya mihogo,viazi nk!?Pia bei hupanda kipindi cha ramadhani tu ila KWAREZMA huwa bei iko chini..??
Vile vile bei hizo zinapopanda wakati wa Ramadan wale wanaofunga KWAREZMA hawaathiriki na bei hizo?
Tufunge bila kulalama tupate AFIYA NJEMA
Qaresma nazani mnatumia mwezi huu wa kizungu au siyo?Mimi kinachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe
Mwezi wa kiisilamu una siku 29 ama 30 na mwezi wa Gregorian (calender tunayotumia) una siku 30 ama 31 hivyo kila mwaka kuna siku kadhaa hapo zinatofautiana kama 10 ama 20 hivi,Mimi kinachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe