Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

Narudia tena acha kudanganya watu hakuna Islamic calendar Kwa wakati ujao Islamic calendar ipo Kwa nyakati zilizopita ukitaka kujua mwaka 1950 walianza kufunga LIni utaona Ili siyo miaka 50 ijayo ujue unaweza tu kufanya makisio ila sio exactly date

Kuna new moon date na Islamic calendar hivi ni vitu viwili tofauti waislam hawafuati new moon date ila wanafuata maelekezo waliyopewa

New moon date ilikuwa march 21 lakini katika nchi nyingi tarehe 1 ikawa march 23 badala ya 22

Hiyo March 21 Saudi Arabia waliutafuta mwezi Kwa darubini na hawakufanikiwa kuuona hivyo hawakufunga tarehe 22 badala yake wakaanza kufunga tarehe 23 japo tunaujua kuwa new moon date ilikuwa march 21
 
Mwanzo wa mwezi mwandamo (mwezi unapoandama) pale unapokuwa mdogo.. mpaka unapopea...ndio hesabu ya siku za mwezi wa kiarabu. Na miezi yote huwa hivyo mpk kufikia mwaka mpya wa kiislam..hijiria
Maa' Sha Allah
 
Unamdanganya nani!?..yote hiyo kuchukia waislam na funga Yao...acha ujuha
Tumeenda vizuri, hoja kwa hoja, siwezi fikiri kuwa hoja zimeisha ndo ukafikia huku, au uvumilivu katika mjadala ukikuisha ndo inakuwa hivi.
 
Tumeenda vizuri, hoja kwa hoja, siwezi fikiri kuwa hoja zimeisha ndo ukafikia huku, au uvumilivu katika mjadala ukikuisha ndo inakuwa hivi.
Hapana,nimekuona tu mpumbavu,upo for the sake of debate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…