ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hii Dunia ya sasa mfumo umeegemea tu kwenye tamaduni za west mitandao na utandawazi hamuwezi kuepuka sana kwa sababu waislam wengi tu wanazivunja sheria mlizowekeana wenyewe halafu zinatokea vikundi eti jihadi kupigania dini ya mwenyezi wakati watu wenu wenyewe mambo mengi Kwa mfano wasanii wa muzik waislam wengi tu na huku dini yenu inasema kuimba nyimbo ni dhambi..
Au mfano Mwijaku anajiita sheikh na kaenda kuhiji ila Ona alivyompost mkewe public.
Kuna nini Tena hapo dini hiyo nzuri ila haitekelezi hata kdg so ni bora mtulie msiilazimishe hata kidogo Kwa sababu wenye dini wenyewe ndo kama hao wanavunja sheria wakina zuchu.