Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Ayatollah anacho kipaji cha usaliti na unafiki na ni mfia dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana .... Kanisa na pemba wapi na wapi .. najua nitapigwa ban kama kawaida ila nipo pamoja na watu wa pemba ..wasinajisi ardhi yenu kwa kujenga majumba ya kumshirikisha Allah
HahaaaaaSAUDI ARABIA ALIPOZALIWA MTUME NA WAISLAM MNAENDA HIJA WANARUHUSU MAKANISA KUJENGWA. WHY PEMBA NDIO WAOGOPE KANISA
Yatajengwa tu. Utake usitake. Yanajengwa Saudi itakuwa Wete?Safi sana .... Kanisa na pemba wapi na wapi .. najua nitapigwa ban kama kawaida ila nipo pamoja na watu wa pemba ..wasinajisi ardhi yenu kwa kujenga majumba ya kumshirikisha Allah
Safi sana .... Kanisa na pemba wapi na wapi .. najua nitapigwa ban kama kawaida ila nipo pamoja na watu wa pemba ..wasinajisi ardhi yenu kwa kujenga majumba ya kumshirikisha Allah
Hizo dini mmeletewa na wakoloni, leo mnataka kuwafukuza wapemba wenzenu na kuwaita najisi, watu weusi mna matatizo ya akiliSafi sana .... Kanisa na pemba wapi na wapi .. najua nitapigwa ban kama kawaida ila nipo pamoja na watu wa pemba ..wasinajisi ardhi yenu kwa kujenga majumba ya kumshirikisha Allah