kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Daah!! Mufti wa siku hizi Wana Smart phones, television na radio nyumbani, ofisini, kwenye simu na kwenye magari yao. Je, Tuendelee na utaratibu wa kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwa macho yetu hapa mtaani kwetu? Ni kwanini mtume alihimiza Waislam waitafute elimu hata uchina? Uchina hakuwa na Waislam kipindi hicho Elimu ya uchina ni ipi na alikusudia nini mtume SAW?
Je, Arafa tuna ya kwetu?
Je, Arafa tuna ya kwetu?