Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Yaani wewe ni mdini hadi umepitilizaUtakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa. Kinyume chake
kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maaana.
Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.
Hiv mkali kwa unavyonifahamu pale supuni kuna mtu wa kunituma kweli???Vijana mnatumwa siyo
Sjaelewa mkuu wasiende uwanjani au wasishabikie mpira?Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa. Kinyume chake
kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maaana.
Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.
Kwa mkapa hatoki mtu aseee😆😆Huna lolote 😄
Nenda kaswali huko 😂😂😂Kwa mkapa hatoki mtu aseee😆😆
Ivi jambo la mtu mmoja ndio msimamo wa Waislamu wote mbona nchi zinazoaminika kuwa na Waislam wengi zinashiriki mpira wa miguu.Uislam unaendelea kuwa dini ya ovyo,mpira dakika 90 unakuzuia nini kufanya mambo yako mengine
😄😄 pokea simuNenda kaswali huko 😂😂😂
Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maaana.
Hata vimini na vibukta vinaendaKwani wanaenda kobaz pekee?
Ungeongelea wote, punguza udini
Subiri kwanza napiga pilau jogooo ntakupigia usiku😄😄 pokea simu
Sijapenda kabisa msela wangu , unajua kile kikole / undu , wa jogoo nakula mimi lakiniSubiri kwanza napiga pilau jogooo ntakupigia usiku
Dawa ya ni Dimoso na Sheikh Nyumdo hao.Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza.
Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa.
Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maana.
Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.
We kula tu majani ya kund 🤣🤣🤣🤣Sijapenda kabisa msela wangu , unajua kile kikole / undu , wa jogoo nakula mimi lakini
Umenikumbusha huu ujinga asee😆😆😆 majani ya kund sio mchezo asee 🤣🤣🤣🤣We kula tu majani ya kund 🤣🤣🤣🤣