Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
- Thread starter
-
- #361
Dini yetu inahubiri amani na upendo na kuwalingania wale ambao hawamjui Mungu waweze kumjua Mungu. Hatuhubiri kuua nafsi za watu bila ya haki.Hili andiko ni ishara ya hasira ya kuzuia mafunzo ya kigaidi yaliyokuwa yakitolewa.
Tena usijaribu kutumia neno uslamu na waislamu kama namna ya kupata kuungwa mkono na wenzio wengi.
kaa ukijua zama zimebadilika,
ukibeba jambia sitakimbia, nitabeba panga.
ukibeba mawe nitabeba mawe
ukibeba bomu, nitavaa mabomu.
ukibeba bunduki, nitakuja nazo
ukituma majini nitakutumia mapepo (au unabisha?)
ZAMA ZA KUOGOA UISLAMU NA WAISLAMU ZIMEKWISHA!
Hizi ndio kebehi za Petro.Kwa mazingira Yale,hata nguruwe mnyama mtamu kabisa hawezi kulala hapo
Mwamposa kawaibia kina nani ?, Kuna mtu aliwahi kulalamika kaibiwa na Mwamposa?....hizo Sadaka nyingi anazopokea zinawauma?...Huyo mkuu wa wilaya ajiangalie sana. Atumie busara
Akina Mwamposa wanaibia watu mchana na usiku serikali iko kimya halafu anakuja mkuu wa wilaya anataka waislamu wasisome dini yao?.
Huyo mkuu wa wilaya ajitafakari sana.
Anaingilia uhuru wa waislamu kuabudu na kujifunza dini yao, hili halikubaliki
Muulize mana yako kama mimi ni falaWe fala kweli, mwamposa aliua watu kipindi cha samia? Mbona aliyekuwepo hakumfungia?
Even a single day counts in times of dangerSheikh kamuonesha huyo DC kuwa wapo kwenye michakato ya ujenzi...kuna Cement,matofali,nondo mchanga na kila kitu...bado wanafatilia vibali waanze ujenzi huku watoto wakiendelea na masomo hapo msikitini kwa dharura. Elimu inaendelea na ujenzi unaendelea.
Missile, mbona unaiaibisha JF? ..isikilize clip ya DC tenaHuyo mkuu wa wilaya ajiangalie sana. Atumie busara
Akina Mwamposa wanaibia watu mchana na usiku serikali iko kimya halafu anakuja mkuu wa wilaya anataka waislamu wasisome dini yao?.
Huyo mkuu wa wilaya ajitafakari sana.
Anaingilia uhuru wa waislamu kuabudu na kujifunza dini yao, hili halikubaliki
Mwamposa kawaibia kina nani ?, Kuna mtu aliwahi kulalamika kaibiwa na Mwamposa?....hizo Sadaka nyingi anazopokea zinawauma?...
Mkuu Sadaka ni Ibada pia....alafu ni jambo la kiimani mno.Hamna sadaka pale, ina maana huoni utapeli pale?
Mkuu Sadaka ni Ibada pia....alafu ni jambo la kiimani mno.
Kwako unaweza kuona ni utapeli ila hujui waumini wanaotoa Sadaka wameguswa kiasi gani na hiyo huduma.
Wayahudi ni waarabu..? Wale wamezaliwa kichwa na sio mikia..Mbona wayahudi na lugha yao ya Hebrew huandika kutoka kulia kwenda kushoto na hatukuoni ukiwabeza we kichwa maji?
Watangulizi wa Petro Magoti mbona hawakuleta taharuki hizi.
Wamepita ma DC, Mh Jokate mwegelo na Nikki wa pili wameishi vizuri tu na wana Kisarawe ila yeye toka aje Kisarawe amekuwa ni mtu wa kuzua taharuki.
Kwanza kaanza kwa kutoa matamko kuwa mabinti wa kizaramo wasichezwe, pikipiki zisitumike kubeba mkaa pikipiki ikikamatwa anaitaifisha , hajakaa vizuri kaja na haya
We unasema "kuna maustazi wanaf.ira" PAPA amehalalisha Rasmi kufira.na. Yaani sio kutafuta nani mfir.aji. Papa kabariki kabisa tena atakaepinga sio mkristo wa kweli.Mwisho: Kumbuka kuwa history tells it all kuwa kambi kama hizi kuna maustadhi wanafira watoto (kumradhi) hivyo lazima kuwa macho na so called shule hizi zenu.
Teh teh tehHii aione kahtaan yule mfia mila na desturi za kiarabu
We unasema "kuna maustazi wanaf.ira" PAPA amehalalisha Rasmi kufira.na. Yaani sio kutafuta nani mfir.aji. Papa kabariki kabisa tena atakaepinga sio mkristo wa kweli.
Msome hapa PAPA anasemaje.
Papa abariki mahusiano ya jinsia moja yasiofanana na ndoa – DW – 27.12.2023
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameridhia mapadri kubariki wapenzi wa jinsia moja, katika mabadiliko ya sera yanayonuwiwa kulifanya Kanisa kuwa shirikishi zaidi lakini likibakisha marufuku ya ndoa za jinsia mojawww.dw.com
View: https://youtu.be/FwTtXdBPo0s?si=PKPpO7V7IZxPBlWl
Sasa hao unaodai maostazi kama wanapakuana basi wanafanya kwa siri na wanajua hilo ni kosa kama kuua. Na wakikamatwa ktk sheria za Kiislamu ni kuuawa moja kwa moja
PAPA yeye mbali ya kuona kufi..rana sio kosa wala dhambi KATANGAZA KABISA kuwa Wanaofi.rana WABARIKIWE.
KAZI KWAKO kama utaamua kupata baraka za PAPA au La.
Hakuna mahali aliporuhusu. mmetafsiri kujiridhisha nafsi zenu. sasa iyo picha papa kweli aliwahi shikana na mtu hivyo.It seems ume graduate madrasa. Leta hoja ya ukweli ijadiliwe.........Papa hajawahi kuruhusu ushoga, alisema tusiwatenge, ni wenzetu , ni wa kuombewa. Eleweni context ya PapaWe unasema "kuna maustazi wanaf.ira" PAPA amehalalisha Rasmi kufira.na. Yaani sio kutafuta nani mfir.aji. Papa kabariki kabisa tena atakaepinga sio mkristo wa kweli.
Msome hapa PAPA anasemaje.
Papa abariki mahusiano ya jinsia moja yasiofanana na ndoa – DW – 27.12.2023
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameridhia mapadri kubariki wapenzi wa jinsia moja, katika mabadiliko ya sera yanayonuwiwa kulifanya Kanisa kuwa shirikishi zaidi lakini likibakisha marufuku ya ndoa za jinsia mojawww.dw.com
View: https://youtu.be/FwTtXdBPo0s?si=PKPpO7V7IZxPBlWl
Sasa hao unaodai maostazi kama wanapakuana basi wanafanya kwa siri na wanajua hilo ni kosa kama kuua. Na wakikamatwa ktk sheria za Kiislamu ni kuuawa moja kwa moja
PAPA yeye mbali ya kuona kufi..rana sio kosa wala dhambi KATANGAZA KABISA kuwa Wanaofi.rana WABARIKIWE.
KAZI KWAKO kama utaamua kupata baraka za PAPA au La.
kahtaan ya mafia uliyasikia? Mwenzenu anakiri nimekuwekea. all in all, siyo wote ni wachache ingawa waarabu ni jadi yaoHii aione @kahtaan yule mfia mila na desturi za kiarabu
Achana na mafia.kahtaan ya mafia uliyasikia? Mwenzenu anakiri nimekuwekea. all in all, siyo wote ni wachache ingawa waarabu ni jadi yao