Hata andiko sijaweka umeshahitimisha, Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?Aliye mwambie mtume wenu "Soma" ni nani ?
Hebu tuwekee Hilo andiko, mtume wenu akiambiwa asome.
Tafadhari kama lipo.
Halipo, ni hadithi za kusadikika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata andiko sijaweka umeshahitimisha, Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?Aliye mwambie mtume wenu "Soma" ni nani ?
Hebu tuwekee Hilo andiko, mtume wenu akiambiwa asome.
Tafadhari kama lipo.
Halipo, ni hadithi za kusadikika.
Wagaratia ni Kabila moja wapo la watu wa nchini Ugiriki. (The Garatians)Hata andiko sijaweka umeshahitimisha, Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
Sera yao ni kuzaana na kuongezeka ili Dunia ijae Waislamu.
Waunde Dola la Kiislamu na mwisho waitawale dunia na kulazimisha watu wote wawe Waislamu.
Huwa nashangaa sana, hivi kwanini wanalazimisha watu wote wawe Waislamu.
Badala ya kufurahia na kuridhika kuwa wameupata Uislamu mzuri kwao wanafosi kila mtu awe Mwislamu.
Wako radhi kuchinja mtu kama hautaki Uislamu.
Mfano wale Magaidi wa Garissa Kenya waliwatenga wasio Waislamu na kuwapigia risasi na kuwaua.
Hawa jamaa mimi siwaamini kabisa na nimesoma Madrasa ili nikikutana na Magaidi najifanya Mwislamu.
Mimi niko upande wa Mkuu wa Wilaya.Mbona mkuu wa Wilaya alikuwa sahihi. Alimwambia shehe ya kwamba Jenga majengo yakikamilika leta wanafunzi. Shida ipo wapi? Watoto wanaishi Kama wanyama.
Hapo nilipo bold mkuu hiyo statement ilitakiwa itumike kama hapo awali walikuwa na mazingira rafiki lakini wakapatwa na majanga.Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.
Walikuwa wazembe au waoga kutekekeza majukumu halaliWatangulizi wa Petro Magoti mbona hawakuleta taharuki hizi.
Wamepita ma DC, Mh Jokate mwegelo na Nikki wa pili wameishi vizuri tu na wana Kisarawe ila yeye toka aje Kisarawe amekuwa ni mtu wa kuzua taharuki.
Kwanza kaanza kwa kutoa matamko kuwa mabinti wa kizaramo wasichezwe, pikipiki zisitumike kubeba mkaa pikipiki ikikamatwa anaitaifisha , hajakaa vizuri kaja na haya