Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

kwahiyo huwa mnafundishwa kwamba wakristo hatujui wazazi wa walioandika vitabu vya Biblia?
We mgalatia kwa taarifa yako nimesoma Bible school for 4 years and I know what I'm talking about.
Don't play game with me nicompoop.
 
🤣🤣🤣

Kuna mtu kauliza habari ya musa na Daudi hapa?
We leo utaelewa tu japo unajitia kichaa.
Jibu swali.
Ni nani babake na MATHEW
Ni nani babake na PETER.
Ni nani babake na MARK
Ni nani babake na JOHN.

SITAKI mipasho na ngonjera
Jibu swali acha kujifanya mwehu.

.
uliuliza waandishi wa vitabu. Musa aliandika vitabu 5 vya mwanzo vya Biblia (Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, Kumbukumbu la Torati) babake ni AMRAN, huyo ndiye alikuwa babake kakake ailiyeitwa HARUNI na dadake aliyeitwa MIRIAM alizaliwa nao tumbo moja. na Daudi aliandika Zaburi. ISAYA aliandika kitabu cha Isaya, babake aliitwa AMOSI.

Petro nimekwambia babake aliitwa YONA.

Yohana babake aliitwa ZEBEDAYO

Mathayo (mathew) ni mtoto wa ALPHAYO

Marko ni mtoto wa AROSTALIS
 
🤣🤣🤣

Kuna mtu kauliza habari ya musa na Daudi hapa?
We leo utaelewa tu japo unajitia kichaa.
Jibu swali.
Ni nani babake na MATHEW
Ni nani babake na PETER.
Ni nani babake na MARK
Ni nani babake na JOHN.

SITAKI mipasho na ngonjera
Jibu swali acha kujifanya mwehu.

.
we ndugu katika imani naona umekimbia, au umeenda gaza?
 
Madaraka bana! Kamtu kenyewe ni kadogo hakajai hata kwenye mkono ila kanatema mkwara mpaka ustaadhi alikuwa anatamani kujinyea
 
Hivi hata Saudi kuna mambo kama haya?
Waarabu wanasomesha watoto siku hizi tena vyuo vya Magharibi ili tu waende sambamba na nchi nyingine kufanya maendeleo ya uchumi na technology.

Nenda Iran tu vimejaa vichwa vya maana kabisa vinasuka mitambo. Huku wanawadanganya watoto wa Elimu dunia sio muhimu wasome dini tu.

Mungu angetaka tusishughulike na mambo mengine asingetuleta hapa duniani tungekaa nae huko huko Mbinguni.
 
Huyo mkuu wa wilaya ajiangalie sana. Atumie busara

Akina Mwamposa wanaibia watu mchana na usiku serikali iko kimya halafu anakuja mkuu wa wilaya anataka waislamu wasisome dini yao?.

Huyo mkuu wa wilaya ajitafakari sana.
Anaingilia uhuru wa waislamu kuabudu na kujifunza dini yao, hili halikubaliki
Kwenye hiyo video kawaambia wasisome dini?
 
Hata ndani ya biblia hilo neno kafiri lipo au kwa vile hukijui kitabu chako?

Ezekiel 21:25 (NEN)
“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake

Yuda 1:14 “Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”

2Wakorintho 16:22 “Mtu awaye yote asiyempenda Bwana, na awe amelaaniwa. Maran atha”. Ili kuepuka kuwa kafiri, ni lazima mtu akiri Yesu Kristo, na kumwamini, na kumpa maisha yake."

Kwahiyo hata mimi ni kafiri kwa mujibu wa Ukristo. Na siwezi kusema umenitukana kwasababu imani yangu haipo katika kuuamini ukristo.
Unajua inaweza isiwe tusi kwa muktadha utaoutumia. Mfano unaweza ukamuita rafiki yako fala mkiwa kwenye story zenu za kawaida tu na ikawa poa tu. Ila mna mgogoro halafu ukamuita fala tayari chuki hiyo.

Wenzetu mkiwa kwenye mada zenu kuzungumzia wa imani nyingine mnapenda sana kutumia hilo neno Kafir, ni mtoto mdogo pekee unaweza kumdanganya ni neno la upendo sio chuki.
 
Watoto wako pale kuhifadhi Quran. Maneno ya Mungu ili uyahifadhi huwa hayataki distractions za kidunia. Ndio maana hata nyinyi mna seminaries na vyuo vya biblia ambapo wachungaji,mapadri na masista huenda kukaa kulisoma neno la mungu wenu.
Halafu hapa unakosea sisi kwetu ni rahisi kuijua dini yetu sababu tunatumia kiswahili. Kwetu wakatoliki hadi mtoto anaenda kuanza mafundisho tayari anaijua dini na imani yake vizuri tu hata kusali amajua pia.

Kwenye familia bora haya mambo yanaanzia nyumbani. Hizo shule za Seminary huwa hatuendi kusoma dini, tunasoma elimu ya kawaida pamoja na kulelewa katika misingi ya dini.

Hatufundishwi kukariri, tujafundishwa kuelewa.
 
EDUCATION is the most powerful weapon which you can use to change the WORLD.

"Nelson Mandela"

Sasa ninyi endeleeni kung'ang'ana na Madrasa (UDINI).

Haya mambo mmeanza tangu ukoloni na walosoma wakaelimika then wakapata ajira mkaona ni ubaguzi why serikali haiwapi ninyi ajira.

Ndg zanguni badilikeni hiyo akhera mnayoitaka tangulizeni na elimu dunia(kama msemavyo)
Muislam aneijua dini hukuti anasema ELIMU DUNIA kamwe, mtume wetu aliambiwa SOMA, SOMA KWAAJILI YA MOLA WAKO, hakuambiwa asome nini
 
Wewe mleta mada ndo unataka kuhamisha magoli ili nia nzuri ya DC ionekane mbaya. DC alikuwa sahihi kabisa, siku waislam mkiacha kuwaza kwa akili za malalamiko malalamiko mtafika mbali sana
Tatizo makafir wanasema kilichokuwa kinafunzwa pale sio dini ni ugaidi
 
G
Waislamu DUNIA NZIMA wana kitabu KIMOJA.
Wavaa pedo na kobazi mna tabu sana.
Dunia gani unayoizungumzia wewe wakati huko duniani mnapigwa vita mkae kwenu hamtaki mnavuruga ustaarabu wa watu,
Mnaomba msaada chakula mkipewa mnauliza hiki halal.
Mkipewa msaada wa kulala mnataka mliyemkuta pale afukuzwe kisa anakula kharam.
Mchina kawashtukia anavunjavunja misikiti yote.
Na muda si mrefu atatembeza ban kwa wavaa pedo.
Hizi habari huwezi kujua km we safari yako ukisafiri sana Zanzibar na selfie unapiga.
 
Tatizo la makafiri wengi mnapenda sana mipasho na rusha roho.
We akili kalio ulionayo unadhanj makafiri waabudu sanamu la mzungu wako salama Huko China?
Yaani bora kufa maskin kuliko kuishi hali ya kuwa wewe ni mpumbavu .

We unafahamu MAKANISA MANGAPI YAMEPIGWA MOTO CHINA na MAPADRI WANGAPI WAMENYONGWA?

Soma hapa habari wanayoipata makafiri wenzako huko China. Halafu uone km utarudia tena kumsifu mchina . Kelbu wahedi.

Hizo habari zote hapo zomeandikwa na vyombo vya habari vinavyo milikiwa na MAKAFIRI kama wewe wanaoabudu weekend.

Sasa was ufundi wachina tena.
Mkiambiwa Someni. Mnakimbilia kuimba kwaya

Paka shume wahedi.
 
aisee ndugu katika imani, ile discussion ulikimbia, kumbe huwa mnafundishwa kwamba makafiri hatujui wazazi wa walioandika vitabu vya Biblia na kwamba walioandika wote ni watoto haram? sikujua kama mna knowledge kidogo namna hiyo juu yetu sisi makafiri.
 
Ndugu zetu Waislamu mmekua hameleki hasa na mafunzo ya hao vijana katika maeneo mengi wenye umli wakua shuleni wamekua wakikusanywa na kupewa hayo mafunzo sasa sijui yanawasaidia nini nivema mnge waacha watoto hao wakapata masomo na kujitengenezea maisha, Niliwaona vijana kama hao msikiti wa Uarabuni Wilaya ya Igunga yani watoto wadogo kabisa wamewekwa kambi eti wanapewa Elimu Ahela jamani, hii yote inasababishwa na pesa kutoka uarabuni Masheh wanatengeneza vikundi nakuvipiga picha kisha wanatuma uwarabu halafu wanatumiwa pesa nyingi, vijana wananunuliwa dagaa na mahalage , wao masheh ndo wanatajilika na kuongeza wake, hii haikubaliki lazima serikali iingilie kati, matokeo yake ndo masheh wajinga wajinga kama wakina Mwaipopo.
 
Mbona waliosoma Hizo degree za vyuo wapo kibao mtaani wanahaha
Degree zao sio msaada tena.
umeshawaona waliosoma degree wanatembea na kobaz barabarani wakiwa na suruari za vinjiwa? be serious. walau kichwani wanakuwa na akili na ustaarabu sio kihivyo ndugu.
 
Ni kama huyu bwana kuna ushahidi alikuwa anautafuta dhidi ya hiki kituo. Ikiwa sio hivyo, kwanini asitembelee mchana? Kwanini atembelee akiwa na waandishi?

Ikiwa serikali ya CCM inajidai Kuwajali watoto, wangapi wanazagaa mtaani? Vipi hatuoni juhudi za kuwaokoa!. Vipi kuhusu umati wa mwamposa unaokusanywa, ambapo baadhi huishia kukumbwa na majanga wa wapo pale. Vip serikali inayojali wananchi ipo Kimya?
Ni shule ngapi za serikali ambazo mazingira yake mbovu lakini hazifungwi? Ikiwa ana nia njema kweli, basi angepitisha hata harambee kwa ajili ya kuchangia ukarabati wa hicho kituo na sio kukifungua. Hii ingekuwa busara zaidi
 
umeshawaona waliosoma degree wanatembea na kobaz barabarani wakiwa na suruari za vinjiwa? be serious. walau kichwani wanakuwa na akili na ustaarabu sio kihivyo ndugu.
Nyie makafiri mnaeodai mna degree mnauziwa mchanga wa mtoni kijiko buku. Na maji ya azam kijiko buku 4 kisha mnaamini mtapata baraka zote na hela nyingi sana.
Halafu weekend mnaenda kupigia goti sanamu la mzungu mkiliomba liwasaidie
Wake zenu wapate mimba.
Au mpate kazi ya maana.

Hio Degree imekusaidia nini kutoa pumba kichwani?

Yaani UKAFIRI NI LAANA ILIOKO NDANI YA DAMU.
Kuitoa ni Jahannam tu. Ndio makao yenu.
 
mwamposa hajanikamata mimi aisee, kawakamata watu wenu mbona. mfano, pale kawe juzi, unaambiwa karibia nusu ya wale waliohudhuria kwa mwamposa ni waislam, wengine wamesafiri toka zanzibar kabisa kuja kwa mwamposa. na anawapiga pesa vilevile wakati sisi wakristo wa hapa hatuna habari naye. majority ya wale wanaoombewa ni watu walioozoea shortcuts, waliozoea kwenda kwa waganga, madawa ya suna, ndio maana hawamtaki Mungu, wanataka miujiza tu, anataka aombewe apate kitu aondoke zake, hayupo pale kuabudu, na wengi sana ni waislam karibia nusu nzima.
 
Back
Top Bottom