Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

Hongera umetuelimisha baadhi ya waislamu mungu akubariki sana.
 
Wenyewe wanawaza kujengewa misikiti tu na DPW bila kufikiri chochote.

Utumwa ni mbaya sana unatumaza hata namna ya kufikiri
 
Huna akili ,unadahani maandiko unaweka tu na kusoma kama gazeti ? unaijua elimu ya exegesis kuhusu maandiko ?
 
Asante sana kwa uchambuzi uliosheheni uelewa. Binafsi nimesoma post nzima na nimeona;

1. Niunge mkono yote uliyoyaandika kuhusu mkataba wa DPW.

2. Naunge mkono kwamba kama ikulu ya Dar ilikuwa msikiti, basi pambaneni irudi kwenu. Ni sawa tu na shule za zilivyotaifishwa na baadaye zikarudi kwa wenyewe
 
Uisilamu una viongozi wengi wasomi tatizo nimfumo wa upatikanaji wao siku waislamu tukiamua kuutafsili uislamu kuwa ni dini ya haki basi haya malalamiko yataisha,maana hakuna adui wa uisilamu nje ya uislamu,,
 
Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Kama TEC hawajaona huo wizi, wewe uliyeona kwanini hutoi tamko? Wewe huwajibiki kulinda rasilimali za taifa?. Hizi akili kweli ni tope. So wewe umeona Barick 'wanaiba' kule huku unaambiwa Dpworld wanataka kuiba huku, unsema acha waibe tu kwani hata kule tunaibiwa?
 
😍😍😍
 

Ushahidi wa kuuza nchi tupe
 
ALL THIS IS LACK OF FORMAL EDUCATION, WESTERN EDUCATION

Huwezi kutegemea madrasa ukawa na weledi wa kudadavua mambo! Muislamu hata akawa Prof, ukimchomekea dini tu, umemteka. Mfano mzuri ni Prof Asad former CAG, na likaratasi lake la PhD, mbele ya dini aliliweka kando akaingia kwenye kundi la wajinga! kundi la takataka!

Likewise Zitto, kwenye hili la Bandari ame mute by 100,000,000% as if nothing is going on. Reason, Mwenzangu katika dini.... Zitto na weledi wake, limekuwa jibwa lisilobweka kabisa...afadhali libweke na haliumi, sasa Zito ni jibwa lisilobweka kabisa..kwa bandari. UDINI wa mwenangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…