bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
yule jamaa alioa mtoto wa mika 9.... mbakajiNa wewe tuwekee ushahidi ya kwamba yesu na waktistoo sio mashoga
And the likes of Lipumba.ALL THIS IS LACK OF FORMAL EDUCATION, WESTERN EDUCATION
Huwezi kutegemea madrasa ukawa na weledi wa kudadavua mambo! Muislamu hata akawa Prof, ukimchomekea dini tu, umemteka. Mfano mzuri ni Prof Asad former CAG, na likaratasi lake la PhD, mbele ya dini aliliweka kando akaingia kwenye kundi la wajinga! kundi la takataka!
Exactly, line hiyo hiyo ya highly internalized religious beliefsAnd the likes of Lipumba.
Hao uliowatagg hutoa hoja kwa kutegemea matumbo yao kama yameshibishwa kwa bahasha!!Unajua kuchambua hoja kwa mantiki, tofauti na wakina Ritz The Boss na THE BIG SHOW wenye mihemko ya kidini miaka yote, wanaoona sifa kulinda ushetani wa ndugu yao katika imani, hata kama amefanya kosa la wazi linaloonekana kwa kila mmoja.
Hilo la ikulu ya Magogoni kama kweli ni jengo lenu, lichukueni tu, inaonekana serikali waliichukua wakati huo wakiwa na upungufu wa majengo, tofauti na sasa tayari ipo ikulu ya Dodoma, kumbe Magufuli aliona mbali sana, inawezekana alijua baada ya muda sio mrefu mtaanza kulalamika, apumzike kwa amani huko alipo.
Ngoja aje mfia dini na jihadist Faizafoxy, THE BIG SHOW, tuone wanasemaje!!Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE ๐ฆ๐ช, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki ๐น๐ท ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Naunga mkono hoja, tena hili niliwahi kulizungumzia humu Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!. Niliandika.Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
P.
- Mfano akihamasisha wafuasi wake wakutane msikiti fulani siku ya Ijumaa, na baada ya swala ya Ijumaa, watakwenda kwa amani kulikomboa eneo fulani la babu zao, na lile jengo la Darusalaam lililojengwa na Waislamu, na ule msikiti wa maeneo yale uliogeuzwa kanisa, linaloekea Kibla, liliporwa enzi za wakoloni Wajerumani wakaligeuza ni jengo lao.
- Watajitokeza watu kila kona, patakuwa hapatoshi!.
- Wakoloni Wajerumani pamoja na udhalimu wao wote, walipokuja walilitwaa jengo la Darusalaam lilikokuwa makao makuu ya Uislamu, Wakauvunja msikiti mkuu, na ule msikiti mdogo wakaugeza kanisa! . Wakataka kuhamisha makaburi, ziliteremka bakora haikujulikana zilitokea wapi!. Kwenye kaburi la Atas pale Clock Tower, waliletwa watu 60 mijitu ya miraba minne kuvunja kaburi lile, waliibuka kundi la nyuki wa ajabu, wakikudunga tuu sindano, unakwenda kufia mbele huku unakimbia!, hivyo wakalazimika kuheshimu makaburi ya Waislamu, hivyo katika maeneo yote serikali ya mkoloni aliyopora kutoka kwa Waislamu, misikiti, walivunja ila yale makaburi ya msikiti, waliyaheshimu, hata wakijenga makaburi yanaachwa, hivyo hili jengo ninalolizungumza hapa la Darusalaam, hapo kwenye makaburi walipaacha na makaburi hayo yapo mpaka leo, japo hutujui ni ya kina nani, ila waliyahifadhi.
- Sasa katika Swala hiyo, akatoa historia ya eneo fulani pale Feri lilikuwa eneo la msikiti, wakoloni Wajerumani wakalitwaa na kuuvunja msikiti ule, na kujenga jengo fulani jeupe, ushahidi ni makaburi ya Waislamu yaliyohifadhiwa humo, hivyo ikapigwa takbir twende tukalikomboe eneo letu na jengo letu, amini usiamini kuna mtu atafurushwa baru, hamtaamini!.
- Waislamu wa Ilala na Buguruni na Temeke, wao wakusanyikie lile jengo pale Taraza next to Dar Group ili kutangazia umma, kuwa Waislamu wa Dar es Salaam wamekomboa eneo lao. Waislamu wa Kinondoni wao wakusanyikie lile jengo pale oppsite Bamaga, kutangazia habari njema hiyo.
- Amimi usiamini, kuna mtu kwenye jengo hilo atafurushwa watu hamtaamini, polisi wote wa Kamanda Sirro can't stop them, labda wawatumie vijana wa Mabeyo, and there will be a blood bath!.
Nimegundua kuwa wote wanoaupinga waraka wa TEC hawajausoma kabisa bali wanaongozwa na mihemko na jazba za udini tu,na udhaifu huu ndiyo unaotumiwa na CCM kuwatumia Waislam kukidhi matakwa yao ya kisiasa.Lisome vizuri tamko lao la juzi halihusu bandari tu, linahusu rasilimali zote na humo ndani wametetea wamasai wanotimuliwa bila haki huko Ngorongoro!. Au wewe hayo huyapendi pia?
Unastahili pongezi kwa kuona ukweli.Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE ๐ฆ๐ช, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki ๐น๐ท ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Sawa ila huo Mkataba wao urekebishwe maeneo tata. Mimi napenda sana DPW.Welcome DP WORLD hayo mengine yatajipanga huko baadae.
kwan hukuona JPM alivyowashughulikiaWale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
Ulimsikiliza Padri Kitima kuhusu uwekezaji katika migodi na hatua walizochukua kuishauri serikali kunako 1997?Wale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
ulikuwa wap kipind cha jpm? alipowatingishaUko wapi mkataba wa madini wa barrick niwekee hapa niusome
Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu mikataba ya kimataifa.
Viongozi wetu hasa Ma-Imamu wetu na wengine wanaokaribishwa kutoa neno, wakumbuke kwamba suala la Bandari linahitaji udadavuzi wa SHERIA na SIO SHARIA. Hili la Bandari halihitaji MUAZINI kulisimamia, linahitaji wataalamu wa sheria kulichambua nando maana hatua yakwanza kabisa kupinga ilipelekwa mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria, hukumu ikatoka kwamba mkataba unazo dosari unatakiwa kurekebishwa. Kitaalamu hii ilishindikana mahakama kutengua maamuzi ya Bunge bali ilishauri Bunge lipitie sheria hizo litekebishe huo mkataba. Kwa kifupi ni kwamba MKATABA hauna faida kwa taifa.
Katika eneo ambalo Waislam tunapaswa kuliellewa ni kwamba tunapaswa kulizingatia ni hili viongozi wetu kuweka maneno ya chuki dhidi ya imani zingine, tukishindwa kuwahoji misikitini basi tutoke tuwaache waendelee na SOGA zao baada ya IBADA.
Kuna ujinga unasambazwa kwamba UJIO wa DP World utalifanya KANISA lisiingize makontena yao kwa msamaha wa kodi. Innalillah Wainalillah rajiun; kwanza tutambue masuala yote ya kikodi yanapangwa na serikali yetu, ni suala la DP World kukabidhiwa list ya misamaha ya KODI kwa taasisi husika. Na hapo hakuna atakaepinga. DP World hawaji kupanga masuala ya kodi ama tozo za bandarini; bei elekezi za bandari zitaendelea kusimamiwa na TPA na TRA. Hili Waislam tulielewe; tusipuyange.
Yaani kwa kifupi ile misamaha ambayotuliipeleka ya kuomba kuondolewa kodi ya TENDE, msamaha wa kodi ya MAJI ya ZAMZAM na mengineyo DP WORLD watayakuta mezani. Halafu pia wataikuta list ya misamaha ya kodi ya VIFAA TIBA, VIFAA VYA KUJIFUNZIA WANAFUNZI SUNDAY SCHOOLS, SECONDARY, COLLEGES nk wataikuta pale. Kwa hiyo hakuna kitu KANISA watapoteza bali wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kuangalia uhalali wa mkataba na sio kuhusu misamaha ya kikodi au kwa sababu mwekezaji ni kampuni kutoka taifa la kiarabu. Mataifa mangapi ya kiarabu yamewekeza hapa? Ukienda pale Ngorongoro kuna kampuni ngapi za kiarabu? Ukienda Loliondo pale kuna maeneo ukifika unakaribishwa UAE ๐ฆ๐ช, umewahi kuona kanisa linaongelea hayo?
Hawa akina Arab contractors wanaojenga Bwawa la Mwalimu Nyerere si wanatoka Misri? Au wale mnawachukulia kuwa ni wajukuu wa FARAO? Na hawa wanaojenga SGR si ni waarabu wa Uturuki ๐น๐ท ? Au wale mnawachukulia ni ndugu zake Ottoman? Jikiteni katika kuzijadili hojaza TEC na sio kuwajadili waliokaa kuzichambua hizo hoja.
Anyway; ngoja niwarudisheni kwenye historia kidogo kuhusu Ikulu ya Magogoni na hili mkalikalie vikao mlijadili pengine mnaweza kulidai iwe mali yetu Waislam maana kihistoria ni mali ya Waislam na hata Magufuli aliamua kuhamisha makao makuu Dodoma ili ikulu hii iwe sehemu ya historia mkapate kuijua hii Ikulu vema.
Pale mlango wa kuingia Ofisi ya Rais (Ikulu) kuna maandishi yanasomeka hivi (ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู), maandishi haya yanatoka katika Aya ya Quran Surat Al HIJR Aya Ya 46 inayosema
ุงุฏูุฎููููููุง ุจูุณูููุงู ู ุขู ูููููู
Wataambiwa "Wacha Mungu" Ingieni kwa salama na amani. Ikisomeka (Udkulu_Ha_Bi_Salamin_Aminina)
Jina Hili la (Dare Salaam) lilibadilishwa na Wajerumani Kutoka katika jina la Asili la (DARU SALAAM) baada ya Wajerumani kuwatoa Waislamu kimabavu katika eneo hilo na kuiweka Ikulu mwaka 1870.
Ikumbukwe kwamba Ikulu hii ilikuwa msikiti uliojengwa na Sultan Majid kutokea Zanzibar Mwaka 1865 kwa ajili ya watu kujifunzia Quran na kusoma elimu ya Dini ya kiislam (leo tungesema ulikuwa msikiti wenye chuo cha Madrasa ) ambako watu mbalimbali kutoka Congo, Malawi, walifika kusoma hapa. Jengo hili likaitwa #DAR_U_SALAAM (Dar es salaam) kama walivyo zoea wengi. Neno hilo ni neno la Kiarabu lenye maana ya NYUMBA YA AMANI. Neno hili sio geni Duniani, ukienda LEBANON utakuta Dar Salaam..
Kwa hiyo katika mambo tunayoweza kuyafundisha kama historia ni haya lakini sio huku tunakotaka kwenda.
Tujisahihishe
Wewe ndio karani wa jehanam?acha ujingaMambo ya kumuambia mtu apumzike kwa amani ni upuuzi yeye kafa kafiri na atauona moto kama kawa,,,ni kama wewe kama ni kafiri moto pia utauona
Weka hapa mkataba wa Barrick tuone unasemaje. Nina uhakika una madudu mkubwa,lkn lzima uwe na document uifanyie kazi. Weka hiyo document hapa. Watatoa warakaWale wazungu wa kahama barick wanachota dhahabu kila siku lakin sijasikia tamko lolote la TEC
ngozi nyeupe bado wanatuchezea michezo ile ile wanatupa quran halaf sisi tunawapa uhuru wetu , mpk watu weusi tukija amka na kuacha na huu utumwa wa dini bas wenzetu watakuwa wanahamia sayari ya marsKanye kanisani