Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

kwahiyo mungu wenu yupo kibra,
Hapana. Mungu wetu popote ulipo naye yupo.
hawezi kusikia ukielekeza ulaya au america?
Anakusikia popote utakapo elekea.
Ila ukisali kuna masharti ya sala ili upate ujira wako wa hiyo sala ni lazima ufuate masharti yake.
Eg. Wewe ukimpa mtu kazi aifanye kama utakavyo wewe kisha yeye akafanya kizi hiyo tofauti na unavyotaka wewe, utamlipa kama mlivyo kubaliana?
 
kwahiyo mungu wenu ameweka masharti ya uelekeo? kwanini amefanya hivyo?
 
DINI ni nini????

Unaweza ukanisaidia maana ya DINI??

Huwa sielewi hili Neno Lina maana Gani.

Lina faida Gani???

Linanisaidia nini???
Utanyooka tu.
Kwa hiyo jana zile tafsiri na maandikonuliotoa hauna uhakika nayo?
Sema tu kama huna uhakika na ulichokisema ueleweshwe.
 
Usiwe mvivu wa kusoma. Nilishabainisha hilo tangu jana. Rudi nyuma utalokuta.
Tatizo na wewe unakuwa mvivu sasa, kama uliandika unashindwa nini kutag reply No. me nitajuaje kuwa uliandika asee?.

Hebu rudia kile alichoandika mtoa mada, YES or NO? tupe quotation sheikh!.
 
Kwenye mihadhara ndipo wale wahubiri wa dini wanakuaga na uongo mwingi kwa kuzunguka kwenye maandiko, badala ya kueleza tu fungu fulani au juzuu fulani.
 
Tatizo na wewe unakuwa mvivu sasa, kama uliandika unashindwa nini kutag reply No. me nitajuaje kuwa uliandika asee?.

Hebu rudia kile alichoandika mtoa mada, YES or NO? tupe quotation sheikh!.
Nilielezea kwa kina sana. Rudia utaelea vizuri sana. Au kama una swali zaidi uliza tu mkuu.
 
Ahaa Gaya huko kanisani kwenu kuna utaratibu Fulani mlijiwekea ukienda kinyume inazua hoja,
Sielewi unamaanisha nini maana mimi nimekataa kufuata dini za watu zisizo na mashiko kwetu Waafrika. Dini zote hizi ni upuuzi mtupu tu.
 
Mapepo wachafu na majini yamewatawala sana jamii ya Mashariki ya kati (Waarab na Wayahudi).....hii ni jadi yao kufuga majini na ndiyo maana mpaka leo bado wanayaendekeza. Huku Afrika wanaondekeza majini na mapepo wachafu ni Waislam na tunajuwa kwanini, nani anabisha?
 
Na wale aliokuwa akiwatoa Yesu, ni wa dini gani?
 
Tatizo na wewe unakuwa mvivu sasa, kama uliandika unashindwa nini kutag reply No. me nitajuaje kuwa uliandika asee?.

Hebu rudia kile alichoandika mtoa mada, YES or NO? tupe quotation sheikh!.
Kama shida yako mtoa mada, basi majibu ni haya hapa:-

Kwa mujibu wa Uislamu, msikiti sio jengo la mtu binafsi, bali ni nyumba ya Mungu kwa ajili ya ibada. Hivyo ni lazima jengo hilo lijengwe kwa mujibu wa Mungu anavyotaka.

Lengo sio ulaya, inawezekana pia kwa bujibu wa jografia ya eneo fulani, ukajikuta huko maqa/kaskazini ndio ulaya pia, ikatofautiana uelewa tu, huyu kaelekea kaskazini kiuelewa na yule akaona kaelekea ulaya.

Kama kuna jengine sema.
 
Na wale aliokuwa akiwatoa Yesu, ni wa dini gani?
Kama nilivyosema hapo juu, mapepo n kwa ajili ya watu wa Mahariki ya Kati (Wayahudi na Waarab) na hapa Tanzania Waislam baada ya kujiingiza kwenye Uislam.
 
Kama nilivyosema hapo juu, mapepo n kwa ajili ya watu wa Mahariki ya Kati (Wayahudi na Waarab) na hapa Tanzania Waislam baada ya kujiingiza kwenye Uislam.
Waislamu wa Tanzani ndio wale wanaotoa mapepo kwa jila la Yesu? Au kuna wengine?
 
Wakati unatoa hii tafsiri na kujiyangaza kua wewe huna Dini, akili yako uliipeleka wapi?
 
Waislamu wa Tanzani ndio wale wanaotoa mapepo kwa jila la Yesu? Au kuna wengine?
Wale ni wasanii tu mkuu, usiwatilie maanani na hata wale watu wao wanaodai kuwa wana mapepo ni wasanii waliolipwa na hao wachungaji. Ni vigumu sana kukuta Mkristu anafuga majini, chunguza tu na ninajuwa jibu unalo ila kwa haibu hutaki kujikubali.
 
Tunamfuata Allah Subhanahu-wataala, na sunna za Mtume wetu Muhammad SAW alizozileta tangu enzi na enzi, hatupaswi kuzitengua kwa utashi wetu.

Kwani tukiwa tunaamini ujinga, wewe unakereka mkuu?
Uwe unatumia akili kijana, hivi kwa akili yako huo msikiti ukiangalia Mwanza Mungu hakusikii ukisali, umeshawahi kujiuliza hili?
 
Wale ni wasanii tu mkuu, usiwatilie maanani na hata wale watu wao wanaodai kuwa wana mapepo ni wasanii waliolipwa na hao wachungaji. Ni vigumu sana kukuta Mkristu anafuga majini, chunguza tu na ninajuwa jibu unalo ila kwa haibu hutaki kujikubali.
18:18-22. MAMBO YA NYAKATI WA PILI.
19 Bwana akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu mfalme wa Israeli, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.

20 Akatoka pepo, akasimama mbele za Bwana, akasema, Mimi nitamdanganya. Bwana akamwambia, Jinsi gani?

21 Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo vinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka, ukafanye hivyo.

22 Basi sasa, angalia, Bwana ametia pepo wa uongo vinywani mwa manabii wako hawa; naye Bwana amenena mabaya juu yako.

Kwa hiyo unatuambia haya maandiko ktk bibilia sio ya kweli?
 
Uwe unatumia akili kijana, hivi kwa akili yako huo msikiti ukiangalia Mwanza Mungu hakusikii ukisali, umeshawahi kujiuliza hili?
Kwa kuwa anatumia akili ndio maana akafuata kile akitakacha huyo Mungu.
Wewe ushawahi kupanda basi ya Mwanza kisha tiketi ukakata Dodoma kwa 7bu inapita hapo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…