sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam kuapigania dini, basi umefanikiwa.
Kwa mfano:
Osama alitumika kupambana na Soviet Union, baada ya kukamilisha lengo, akageuka gaidi. ndicho ninachokiona kule syria, hawa wanaoitwa "rebels" wanaopigana wakiamini wanapigania dini ila mwisho wa siku lengo ni
1. kumuondoa Assad ambae ana ukaribu na Iran.
2. kuondoa tishio la usalama kwa Israel na huenda israel akajitwalia maeneo kadhaa hapo. Ni suala la muda kabla ya hawa watu hawajaitwa magaidi tena na kuanza kupigwa tena.