Waislamu jifunzeni kutenganisha dini (religion) na ya kidunia (secularism)

Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa!

Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini.

Watu wengi wanakimbia uarabuni na kwenda nchi za magharibi kuondokana na ukandamizi unaotokana na kuchanganya dini na sayansi.

Dubai, Bahrein, Qatar, n.k., wamegundua dini ni kikwazo kikubwa kwa uchumi wao na wamefanya udunianisho (secularization) ya nchi zao. Nani asiyejua maendeleo makubwa ya mataifa haya madogo?

Ukifika Zanzibar unagundua haraka kuwa tatizo hapa ni dini.

Waislamu wengi wamebanwa kwenye mtego wa “Uislamu” na wanateseka sana! Utakuta mathalan hapa Dar es Salaam pamoja na joto kali kupindukia mabinti wa kiislam wanalazimishwa kuvaa baibui jeusi na kuziba nyuso zao kwa hijab siku nzima! Rangi nyeusi husharabu joto na kuuchoma mwili lakini watu hawaoni sayansi hii wao hukomalia dini tu. Je utumwa wa waarabu haukuwatosha?

Msipobadilika mtaendelea kuwa miaka 600 nyuma ya dunia na kuyaona mataifa ya magharibi na Ukristo kuwa adui yenu mkubwa. Adui yenu mkubwa ni dini yenu!
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Dini na Dunia havitenganishwi, ukifanya hivyo ni uchague wewe ni muislam au ni mdunia, lazima uchague kimoja tu......
Kwa kukusaidia tu, maana ya Dini ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu wenye msingi mkuu mmoja tu "Kufuata maaamrisho ya Allah na kuacha makatazo yake" sasa ni simple tu ukitaka hiyo dunia ni lazima ujiulize je hili limeamrishwa na Alla au limekatazwa basi hakuna kanuni nyingine!!!
Kwa misimamo kama hii, vijana wa Kiislam wataendelea kupambana sana wafike Ulaya na USA. Hata siku moja hawawezi tamani kwenda Saudia, Afghanistan au Iran
 
Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa!

Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini.

Watu wengi wanakimbia uarabuni na kwenda nchi za magharibi kuondokana na ukandamizi unaotokana na kuchanganya dini na sayansi.

Dubai, Bahrein, Qatar, n.k., wamegundua dini ni kikwazo kikubwa kwa uchumi wao na wamefanya udunianisho (secularization) ya nchi zao. Nani asiyejua maendeleo makubwa ya mataifa haya madogo?

Ukifika Zanzibar unagundua haraka kuwa tatizo hapa ni dini.

Waislamu wengi wamebanwa kwenye mtego wa “Uislamu” na wanateseka sana! Utakuta mathalan hapa Dar es Salaam pamoja na joto kali kupindukia mabinti wa kiislam wanalazimishwa kuvaa baibui jeusi na kuziba nyuso zao kwa hijab siku nzima! Rangi nyeusi husharabu joto na kuuchoma mwili lakini watu hawaoni sayansi hii wao hukomalia dini tu. Je utumwa wa waarabu haukuwatosha?

Msipobadilika mtaendelea kuwa miaka 600 nyuma ya dunia na kuyaona mataifa ya magharibi na Ukristo kuwa adui yenu mkubwa. Adui yenu mkubwa ni dini yenu!
We jamaa umeongea pumba sana sasa unavyotaka dada zetu na mama zetu watembee bila ya nguo ,mwanamke kila kiungo chake ni uchi sasa uislam umemtaftia stara ili aweze kujihifadhi kutokana na madhila na makero kutoka kwa watu wenye matamanio ya haraka ,,na ndio maana ubakaji kutamani wake za watu yote yamekuja baada ya dada zetu kua na uhuru kwenye mavazi ,,,kwa taarifa yko hakuna mwanamme anaevutiwa na mwanamke asiejihifadhi rijali yoyote anapenda mwanamke mwenye staha na
 
Uislamu haumlazimishi mtu kufanya jambo flani,katika uislamu hakuna kulazimishana. Bali Ni wewe tu ukiona maamrisho ya uislamu Ni sahihi unayafuata....mnakosea Sana kusema kwamba watu wanalazimishwa!

Uislamu ni mfumo mzima wa Maisha ya mwanadamu uliyo sahihi....kwa yule anayeona unafaa na atakae ufuata kiusahihi lazima maisha yake hapa Duniani yatakwenda na kufanikiwa kwa chochote anachokitaka atakipata.

Unataka kulazimisha waislamu wafuata Mila ambazo sio sahihi kwao ili iweje?

Mavazi ya kiislamu yanakuuma Nini?
Kila mmoja afuate anachokiamini tusipangiane.
 
Ndugu Girita hii issue ya kulazimisha tunaishuhudia Kila siku huko uarabun ambalo ndo chimbuko la uislamu. Tunaishuhudia Kila siku watoto wa kike huko uarabun wanauliwa na kukimbia family zao kisa kutaka kubadili dini.

Nchi kama Iran tumeshuhudia mauaji makubwa Kwa sababu ya mavazi Kwa wanawake. Je hao huko hawaujui uislamu?
 
Uislamu haumlazimishi mtu kufanya jambo flani,katika uislamu hakuna kulazimishana. Bali Ni wewe tu ukiona maamrisho ya uislamu Ni sahihi unayafuata....mnakosea Sana kusema kwamba watu wanalazimishwa!

Uislamu ni mfumo mzima wa Maisha ya mwanadamu uliyo sahihi....kwa yule anayeona unafaa na atakae ufuata kiusahihi lazima maisha yake hapa Duniani yatakwenda na kufanikiwa kwa chochote anachokitaka atakipata.

Unataka kulazimisha waislamu wafuata Mila ambazo sio sahihi kwao ili iweje?

Mavazi ya kiislamu yanakuuma Nini?
Kila mmoja afuate anachokiamini tusipangiane.
huujui uislam.

hiki unachojaribu kuhalalisha ni kama kutaka kusem mtu anawezakuwa muislam halafu akafanya yale anayoyataka au anayojisikia,hata kama ni kinyume na uislam.

moja ya malengo ya uislam ni muislam kuufata wenyewe unavyoagiza,na ili hili litimie kwa urahisi ni mpaka tawala iwe chini ya sheria za kiislam,yaani sharia law.

kuishi nje ya mfumo wa sharia ni kushindwa kwa uislam maana moja kwa moja ni matundu katika kuuharibu uislam na waislam wenyewe.muislam anapoishi na mtu asiye muislam akatii sheria zisizo za kiislam hayas sio malengo ya uislam,ndio sababu hata zenj huwa wanafoka sana wanapoona kuna dalili za kuwatoa kwenye tamaduni zao za kidini.

uislam usio wa kulazimisha sio uislam wa Quran ni uislam wa kisasa.
 
Reforms ni jambo zuri kwa Dini yoyote ile kwa mfano unakuta wasichana badala ya kuvaa vazi la kuogelea wao wanaogelea na hijabu na mabaibui na mara nyingi yanawatega wakati wa kuogelea na kusababisha vifo
39970499-muslim-women-swimming-in-tradicional-burka-on-the-beach-in-maldive.jpg
muslim-woman-in-swimming-pool-wearing-traditional-islam-head-scarf.jpg
 
Back
Top Bottom