johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Saa 1 asubuhi, viongozi wa kitaifa wataswali katika msikiti wa Manyema jirani na Lumumba!Kuswali saa ngapi
Amina bwashee!
Hivi ni siku mbili?Mwenyezi Mungu atukubalie amali zetu njema, sote kwa pamoja.
Amina!Mwenyezi Mungu atukubalie amali zetu njema, sote kwa pamoja.
Ndio bwashee!
taqabalallahu minna wa minkum.Eid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla.
Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Siasa siyo Uadui
Maendeleo hayana vyama!
============
Assalama Alaikum
Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.
Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)
Siitaki na wala sitaipokea salamu yako ya Eid , haramu haitoweza kuwa halaliEid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla.
Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Siasa siyo Uadui
Maendeleo hayana vyama!
============
Assalama Alaikum
Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.
Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)
Ndio mkuu.
Eid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla.
Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Siasa siyo Uadui
Maendeleo hayana vyama!
============
Assalama Alaikum
Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.
Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)
Eid Mubarak bwasheeSiitaki na wala sitaipokea salamu yako ya Eid , haramu haitoweza kuwa halali
Hao wako kundi la wananchi!Pia CcmB Nccr mbona umewasahau kuwatumia salamu za Eid Mubarack