Waislamu kwa mujibu wa Biblia pepo ni mahsusi kwa ajili ya wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo wa Mungu!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kama wewe hauna imani na mwanakondoo wa Mungu basi tambua kuwa pepo haikuhusu

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee

Muwe na siku njema

Ufunuo wa Yohana 21:27 7
Yohana 14:6 - Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Yohana 6:44 - Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho.

Yohana 6:54 - Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
 
Waislamu na wakristo nyie kazi yenu ni kujihesabia haki na kudharau imani za watu wengine, kwanini hamuheshimu imani za watu wengine? Na kwanini kwenye dini zenu kuna mgawanyiko wa madhehebu na hampendani?

Kuna dini nyingi sana baadhi yake ni hizi

Hinduism
agnosticism
Buddhism
Chinese folk religions
ethnic or tribal religions (mostly in Africa)
atheist
New Religionists (new religious movements in Asia)
Sikhism
Spiritism and spiritualism
Judaism
Bahāʾī
Daoism
Confucianism
Jainism
Shintō
Zoroastrianism
 
Mkuu nimenukuu maandiko
 
Vichaa wa Milembe wamaeokota simu ndio wameamua kuanzisha uzi huu
 
Uzi kama huu kwa kweli unatakiwa ufutwe.

Haujengi, ni vitisho na kejeli tu...
 
Hiyo pepo yenu isiyokuwa na bata bakini nayo tu wenyewe hatuna haja nayo!

BTW, andiko la kikafiri na pepo ya kikafiri inawahusu Nini Waislamu?
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Hakuna Mungu.

Hakuna Shetani

Hakuna mwanakondoo.

Hakuna pepo.

Hakuna Jehanam motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…