Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Msikiti unaweza kukaa miaka 20 bila kusolve tatizo la ukuta wa fence na waamini bila hata aibu kila siku wataingia kuswali na kuondoka
Kwanini Mashekhe wasiombe hata semina na Wakatoliki na Walutheri wajifunze mbinu za kutengamaza na kutegemeza Misikiti Yao; utakuwa Wakatoliki Parokia imeshamiri kwa michango wa waamini wenyewe mpaka mwisho wa siku inaanza kusaidia mpaka vizazi vya wale waliozitegemeza
Yaani naangaliaga baadhi ya misikiti na ninaishia kunung'unika kama jamii inayoenda kuabudu haijali madhabahu huko nyumbani kukoje?