Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Jamani Waislamu na Wakristo sio Watanzania wote tupo kwenye izo Dini zenu na wengine pia hatuna kabisa. Huu ukorofi wa ma-loudspeaker misikitini adhana utadhani hadi Msumbiji wasikie sio.
Hadi Saudi Arabia wamepiga marufuku kelele za maspika makubwa kama usumbufu na nchi nyingi tu za kiislam, lakini sauti ya kawaida tu hizo adhana na sala za kiislamu huwa muda mchache poa tutavumiliana ila msitusikilizishe mawaidha au kuweka maspika kati kati ya mtaa.
Walokole nao ndio way worse kwa kelele kuliko hata waislamu, at least waislamu are predictable kwa mida yao ya sala unaweza kujiandaa, lakini hawa watu muda wowote tu wanajiwekea kambi na spika kuanza kusumbua watu, wengine wanajipandisha kwa daladala na Yesu wake wee mpaka mnafika.
Hii si sawa na kinyume cha sheria kwani dini ni private kama mahusiano yetu ya ngono. Nikimtaka bwana Yesu nitatafuta kanisa kati ya mengi na nikitaka Uislamu pia nitapita msikitini. Tuache huu uhuni na kusumbua watu na dini zenu, in case you haven't noticed Dunia nzima haizunguki kwa Yesu na Mohammed wenu.
Badilikeni kwa sababu na sisi tukianza kuweka Loudspeaker popote hamtopenda ujumbe wetu.