Waislamu na Wakristo heshimuni imani za watu wengine, kelele wakati wa ibada ni kero

Waislamu na Wakristo heshimuni imani za watu wengine, kelele wakati wa ibada ni kero

Kuna public versus private that's why kuna kelele that are inevitable Km mtoto kulia, magari au viwanda kufanya kazi. Sasa dini si wana sehemu za kuabudu shida ya kusumbua watu ni nini? Chuki ipo wapi hapo? Which means kelele zote zisizokuwa za maana kwa public pia napinga iwe ngoma, Muziki wa dunia Au hata discos znazotoa kelele kubwa zote zifanyike sehemu husika.
Me muislam ila naona adhana inatosha kuita watu na mambo mengine ya swala zitumike spika za ndani isiwe kero kwa wengine kama zifanyavyo nchi zingine itoshe adhana tu kwa sauti kubwa ili kuita watu kwasababu haichukui hata dakika 5
 
Ila kwenye makanisa jitahidini kidogo kupunguza sauti za vyombo vya muziki espicial mkijua kabisa siku iyo mnakesha au mnatumia muda mrefu kwenye ibada kuna siku ilitokea mkesha basi sikulala alafu mchana lile pini likaendelea ikabidi niende church kuingia ndani nakuta ni watoto tu
 
Huu wote ni usumbufu, kukosa ustaarabu, kushindwa kuishi kwa utaratibu na umaskini.
Vipi kuhusu library za movies vipi kuhusu maduka mengi vipi kuhusu wauza sumu ya panya ice cream wauza mboga mboga na wengineo je hakuna wanaoisho karibu na mapub kwann una target group moja kama sio chuki binafsi
 
Kuwekewa mawaidha au mahubiri kwenye gari la abiria ni usumbufu mkubwa sana, ni kiwango cha juu kabisa cha kukosa ustaarabu.
Hakuna ustaarabu huko mkuu
Hata kuweka movie
Nani anataka asikilize kelele za miziki safari yote au mtu anaingia anaanza kupiga kelele

Nchi zilizoendelea kwenye public transport unaona wwmeandika hata simu ongea taratibu usiwakere wenzio
Utasikia announcement tu nothing else

Ila nyumbani ni ulimbukeni tu
Tena Nairobi ndio balaa kuna mabasi ukipanda utasema ngoma ya sikio inapasuka
 
Huu ukorofi wa ma loudspeaker misikitini adhana utadhani hadi Msumbiji wasikie sio;
Swala Swala Swalaa Swalaaaaaaa kumekucha Swala Swala kumekucha waislamu amkeni Swala Swala kumekucha Swalaaaaaaa Swalaa amkeni waislamu amkeni kumekucha

Lazima umke hata km wewe sio muislamu yaan ile hua haiamshi waislamu ile ni alamu ya wafanyakazi watu wakisikia hazana wajue kumekucha kazi kazi
 
Hakuna ustaarabu huko mkuu
Hata kuweka movie
Nani anataka asikilize kelele za miziki safari yote au mtu anaingia anaanza kupiga kelele

Nchi zilizoendelea kwenye public transport unaona wwmeandika hata simu ongea taratibu usiwakere wenzio
Utasikia announcement tu nothing else

Ila nyumbani ni ulimbukeni tu
Tena Nairobi ndio balaa kuna mabasi ukipanda utasema ngoma ya sikio inapasuka
Tena nilisahau hao wanaongea na cm Km wapo peke yako duniani and hawanyamazi all the time
 
Waafrika weusi tunahitaji kupiga hatua zaidi katika kiwango cha ustaarabu. Haiwezekani binadamu wa kawaida akawa anafurahia kuishi kwenye mazingira ya kelele na karaha hivi. Kuna nati zitakuwa haziko vizuri kichwani.
Hakuna ustaarabu huko mkuu
Hata kuweka movie
Nani anataka asikilize kelele za miziki safari yote au mtu anaingia anaanza kupiga kelele

Nchi zilizoendelea kwenye public transport unaona wwmeandika hata simu ongea taratibu usiwakere wenzio
Utasikia announcement tu nothing else

Ila nyumbani ni ulimbukeni tu
Tena Nairobi ndio balaa kuna mabasi ukipanda utasema ngoma ya sikio inapasuka
 
Waafrika weusi tunahitaji kupiga hatua zaidi katika kiwango cha ustaarabu. Haiwezekani binadamu wa kawaida akawa anafurahia kuishi kwenye mazingira ya kelele na karaha hivi. Kuna nati zitakuwa haziko vizuri kichwani.
Mkuu wao wanaona kelele ndio biashara
Halafu serikali nayo ni walewale wasiokuwa na akili za kuzuia hizi kelele
Haiwezekani mtu anaweka speaker mbele ya duka na anauza mitumba siku nzima speaker linarudia yale yale mpaka majirani wanakariri
Na hakuna wa kuongea wote wanaona sawa tu

Eti unasikia mkuu wa wilaya fulani kapiga marufuku na kwingine ni vile vile
Kwanini huwa sheria anaamua mtu mmoja mmoja badala ya kupitisha muswada nchi nzima?

Kuna tatizo katika akili kuanzia viongozi mpaka chini
 
Na wengine ndo earphones wakakosa wakaamua kutuwekea loudspeaker uko YouTube kabisa for all to hear Yaani earphones zinatuokoa mengi ingawa not all. Nitafute za ku cancel all noise tu
Ubunifu tu hatuna ila ningeweza ku jam kelele ningekuwa naingilia makelele yote na kuyazima

Ni upumbavu tu inabidi wabunge walete muswada wa kipiga marufuku kelele za aina hizo bila kumungalia mtu wala dini
Haiwezekani kelele zinakera wao wanaona sawa tu
Na wakubwa wanapita wanaona sawa tu maana akili zao nao ni kama speaker [emoji344] tu
 
Or hao wakubwa wapo kw comfortable city center places na kw viyoyozi hawahangaiki na vichaa hawa Km daladala, Boda boda au madalali so wao they might as well be living in Europe in their heads but ingekuwa inawatokea wao dakika moja tu kingewaka
Ubunifu tu hatuna ila ningeweza ku jam kelele ningekuwa naingilia makelele yote na kuyazima

Ni upumbavu tu inabidi wabunge walete muswada wa kipiga marufuku kelele za aina hizo bila kumungalia mtu wala dini
Haiwezekani kelele zinakera wao wanaona sawa tu
Na wakubwa wanapita wanaona sawa tu maana akili zao nao ni kama speaker [emoji344] tu
 
Me muislam ila naona adhana inatosha kuita watu na mambo mengine ya swala zitumike spika za ndani isiwe kero kwa wengine kama zifanyavyo nchi zingine itoshe adhana tu kwa sauti kubwa ili kuita watu kwasababu haichukui hata dakika 5
Why uite watu kwa kutumia adhan ya sauti ya speaker? Kwani hao watu hawajui wajibu na muda wanaotakiwa kwenda kwa ibada?
 
Back
Top Bottom