Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
- Thread starter
-
- #21
Acha tu dini is untouchable that's why even priests au Sheikhs who molest children remain untouched Acha tuUstaarabu huwa ni sifuri kwakweli.
Wanashindwa kuelewa swala la dini ni personal, wao wanawapayukia na wengine.
Me muislam ila naona adhana inatosha kuita watu na mambo mengine ya swala zitumike spika za ndani isiwe kero kwa wengine kama zifanyavyo nchi zingine itoshe adhana tu kwa sauti kubwa ili kuita watu kwasababu haichukui hata dakika 5Kuna public versus private that's why kuna kelele that are inevitable Km mtoto kulia, magari au viwanda kufanya kazi. Sasa dini si wana sehemu za kuabudu shida ya kusumbua watu ni nini? Chuki ipo wapi hapo? Which means kelele zote zisizokuwa za maana kwa public pia napinga iwe ngoma, Muziki wa dunia Au hata discos znazotoa kelele kubwa zote zifanyike sehemu husika.
Vipi kuhusu library za movies vipi kuhusu maduka mengi vipi kuhusu wauza sumu ya panya ice cream wauza mboga mboga na wengineo je hakuna wanaoisho karibu na mapub kwann una target group moja kama sio chuki binafsi
Hakuna ustaarabu huko mkuuKuwekewa mawaidha au mahubiri kwenye gari la abiria ni usumbufu mkubwa sana, ni kiwango cha juu kabisa cha kukosa ustaarabu.
Swala Swala Swalaa Swalaaaaaaa kumekucha Swala Swala kumekucha waislamu amkeni Swala Swala kumekucha Swalaaaaaaa Swalaa amkeni waislamu amkeni kumekuchaHuu ukorofi wa ma loudspeaker misikitini adhana utadhani hadi Msumbiji wasikie sio;
Ujumbe upi mkuu?sababu na sisi tukianza kuweka Loudspeaker popote hamtopenda ujumbe wetu
Tena nilisahau hao wanaongea na cm Km wapo peke yako duniani and hawanyamazi all the timeHakuna ustaarabu huko mkuu
Hata kuweka movie
Nani anataka asikilize kelele za miziki safari yote au mtu anaingia anaanza kupiga kelele
Nchi zilizoendelea kwenye public transport unaona wwmeandika hata simu ongea taratibu usiwakere wenzio
Utasikia announcement tu nothing else
Ila nyumbani ni ulimbukeni tu
Tena Nairobi ndio balaa kuna mabasi ukipanda utasema ngoma ya sikio inapasuka
Wanakera sanaTena nilisahau hao wanaongea na cm Km wapo peke yako duniani and hawanyamazi all the time
Na wengine ndo earphones wakakosa wakaamua kutuwekea loudspeaker uko YouTube kabisa for all to hear Yaani earphones zinatuokoa mengi ingawa not all. Nitafute za ku cancel all noise tuWanakera sana
Hakuna ustaarabu kabisa
Tena nilisahau hao wanaongea na cm Km wapo peke yako duniani and hawanyamazi all the time
Hakuna ustaarabu huko mkuu
Hata kuweka movie
Nani anataka asikilize kelele za miziki safari yote au mtu anaingia anaanza kupiga kelele
Nchi zilizoendelea kwenye public transport unaona wwmeandika hata simu ongea taratibu usiwakere wenzio
Utasikia announcement tu nothing else
Ila nyumbani ni ulimbukeni tu
Tena Nairobi ndio balaa kuna mabasi ukipanda utasema ngoma ya sikio inapasuka
Mkuu wao wanaona kelele ndio biasharaWaafrika weusi tunahitaji kupiga hatua zaidi katika kiwango cha ustaarabu. Haiwezekani binadamu wa kawaida akawa anafurahia kuishi kwenye mazingira ya kelele na karaha hivi. Kuna nati zitakuwa haziko vizuri kichwani.
Ubunifu tu hatuna ila ningeweza ku jam kelele ningekuwa naingilia makelele yote na kuyazimaNa wengine ndo earphones wakakosa wakaamua kutuwekea loudspeaker uko YouTube kabisa for all to hear Yaani earphones zinatuokoa mengi ingawa not all. Nitafute za ku cancel all noise tu
Ubunifu tu hatuna ila ningeweza ku jam kelele ningekuwa naingilia makelele yote na kuyazima
Ni upumbavu tu inabidi wabunge walete muswada wa kipiga marufuku kelele za aina hizo bila kumungalia mtu wala dini
Haiwezekani kelele zinakera wao wanaona sawa tu
Na wakubwa wanapita wanaona sawa tu maana akili zao nao ni kama speaker [emoji344] tu
Mkuu tumia japo akili kidogo Kuna haja gani ya makelele kutwa nzima?kama wahusika wanajuana si wakutane faragha bila kubugudhi wengine mfano wakatolikiMbn miungurumo ya ndege na machine zingine huoni kero?
Acha chuki za kishamba.
Why uite watu kwa kutumia adhan ya sauti ya speaker? Kwani hao watu hawajui wajibu na muda wanaotakiwa kwenda kwa ibada?Me muislam ila naona adhana inatosha kuita watu na mambo mengine ya swala zitumike spika za ndani isiwe kero kwa wengine kama zifanyavyo nchi zingine itoshe adhana tu kwa sauti kubwa ili kuita watu kwasababu haichukui hata dakika 5