Waislamu tisa waliokula mchana hadharani wakamatwa Nigeria

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
#HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani.

Mwezi wa Ramadhani umeanza nchini Nigeria siku ya Jumatano, Februari 18, 2026. Kwa mujibu wa sheria za Sharia zinazotumika katika majimbo 12 ya kaskazini mwa nchi hiyo, Waislamu wote wenye uwezo wanapaswa kufunga kuanzia kuchomoza kwa jua hadi kuzama kwake.

Naibu Kamanda Mkuu wa Hisbah, Mujahid Aminudeen, ameiambia BBC kuwa watuhumiwa hao walidai kutojua kuwa mwezi wa Ramadhani umeanza.

Amesema kuwa jeshi hilo halitawapa adhabu kali mara moja, bali litawashikilia kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya kiroho.

Ingawa Kano KUN mfumo wa Sharia, sheria za kiserikali bado zinatumika, na migahawa katika maeneo yenye Wakristo wengi inaruhusiwa kubaki wazi.\

Hata hivyo, Hisbah hufanya doria kila mwaka kuhakikisha Waislamu wanazingatia nguzo hii ya nne ya Uislamu. Mara nyingi, waliokamatwa huachiwa baada ya familia zao kuahidi kuwasimamia ili wakamilishe mfungo wa mwezi mzima. #EastAfricaTV
1771515941716.jpg

Source: East Africa TV
 
Safi obey the law ndo iyo ukikubali kuolewa yann ulale na nguo ukiona magumu hapo hama
 
Nyie jamaa linapokuja suala la dini hata wale mliosogea shule kuondoa ujinga huwa mnakaa kapu moja na wajinga,vipi kama ni wagonjwa?

Au wanatumia dawa za muda mrefu zinazohitaji miili iwe na lishe ili wapate afueni ya maradhi yao?
 
#HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani.

Mwezi wa Ramadhani umeanza nchini Nigeria siku ya Jumatano, Februari 18, 2026. Kwa mujibu wa sheria za Sharia zinazotumika katika majimbo 12 ya kaskazini mwa nchi hiyo, Waislamu wote wenye uwezo wanapaswa kufunga kuanzia kuchomoza kwa jua hadi kuzama kwake.

Naibu Kamanda Mkuu wa Hisbah, Mujahid Aminudeen, ameiambia BBC kuwa watuhumiwa hao walidai kutojua kuwa mwezi wa Ramadhani umeanza.

Amesema kuwa jeshi hilo halitawapa adhabu kali mara moja, bali litawashikilia kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya kiroho.

Ingawa Kano KUN mfumo wa Sharia, sheria za kiserikali bado zinatumika, na migahawa katika maeneo yenye Wakristo wengi inaruhusiwa kubaki wazi.\

Hata hivyo, Hisbah hufanya doria kila mwaka kuhakikisha Waislamu wanazingatia nguzo hii ya nne ya Uislamu. Mara nyingi, waliokamatwa huachiwa baada ya familia zao kuahidi kuwasimamia ili wakamilishe mfungo wa mwezi mzima. #EastAfricaTV
View attachment 3546255
Source: East Africa TV
DINI ZA MAANITHI WA AKILI ...VP FUNGA YA KULAZIMISHWA IZAE THAWABU🙄🙄? ...Dini feki ni rahisi sana kuzitambua duniani.
 
Kuna majimbo huko kaskazini mwa Nigeria yanafuata sheria za kiislamu..

Hivyo haishangazi..
#HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani.

Mwezi wa Ramadhani umeanza nchini Nigeria siku ya Jumatano, Februari 18, 2026. Kwa mujibu wa sheria za Sharia zinazotumika katika majimbo 12 ya kaskazini mwa nchi hiyo, Waislamu wote wenye uwezo wanapaswa kufunga kuanzia kuchomoza kwa jua hadi kuzama kwake.

Naibu Kamanda Mkuu wa Hisbah, Mujahid Aminudeen, ameiambia BBC kuwa watuhumiwa hao walidai kutojua kuwa mwezi wa Ramadhani umeanza.

Amesema kuwa jeshi hilo halitawapa adhabu kali mara moja, bali litawashikilia kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya kiroho.

Ingawa Kano KUN mfumo wa Sharia, sheria za kiserikali bado zinatumika, na migahawa katika maeneo yenye Wakristo wengi inaruhusiwa kubaki wazi.\

Hata hivyo, Hisbah hufanya doria kila mwaka kuhakikisha Waislamu wanazingatia nguzo hii ya nne ya Uislamu. Mara nyingi, waliokamatwa huachiwa baada ya familia zao kuahidi kuwasimamia ili wakamilishe mfungo wa mwezi mzima. #EastAfricaTV
View attachment 3546255
Source: East Africa TV
.
 
Dunia nzima itakuwa Dola ya Kiislamu:
Kwani ni Dini ya Haki na Mwongozo wa maisha yote ya watu
 
Back
Top Bottom