Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo. Je, kiislamu iko sawa?

Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo. Je, kiislamu iko sawa?

Kama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.

Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.

Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.

Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel
 
Inaruhusiwa endapo Kuna Ushahidi Usio na Shaka kuwa Huyo mtu kafariki kweli na Mtaalamu wa Sehemu hiyo labda aliyeona Bomu likilipuliwa na marhamu akiwa Sehemu Husika Na kwamba mwili wake hauwezi kupatikana Akathibitisha hivyo..

Basi Kisheria ni Ruksa Kuanza taratibu za Kifo na Taratibu zingine za Urithi na Mirathi
 
Ndugu yangu, dini ya kiislamu ina miongozo kwenye kila jambo au kwenye kila tukio,kuna maelezo yanaelezea ikitokea hivi pafanyike nini.

Jambo la muhimu kama kuna kitu hukijui kuhusu dini yoyote uliza kwa staha utapewa majibu, kwahiyo waislamu kuzika bila maiti inaruhusiwa mradi tu jambo hilo limekidhi maelekezo yaliyomo kwenye kuruani
 
Kama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.

Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.

Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.

Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel
Bado wana mwili wa Sinwar
 
Back
Top Bottom