Na wakikabidhiwa mwili wataswali tena swala ya mazishi?Inakubalika. Wanaita Swala ya GHAIB.
Maiti anaswaliwa bila kuwepo sehemu husika na bila kujali masafa.
Hakuna ubaya kwa wale ambao hawakupata fursa awali.Na wakikabidhiwa mwili wataswali tena swala ya mazishi?
Alhamdulillah lakini imani bado ipo yale ni majengo tu usiogope vita ni mbaya kama hujui unapigania ninDah vita mbaya, misikiti yote imekwisha.
Aliyewaambia hakuna uwezekano nani?Ni sahihi kumswalia mpwendwa wao kwa kuwa imethibitika amefariki na hakuna uwezekano wa kuupata mwili wake
Kafa kifo cha kifala kabisa Tena cha aibu bora hata haniyer aliuliwa usingini, huyu fala kafa amekalia sofa kabisaSinwar kafa kifo cha kishujaa katika kupambania ardhi yake
Muislamu akiwa mja mwema hata afe katika mazingira gani na bila kujali maiti imepatikana au haijapatikana na haijalishi amezikwa vipi atakwenda peponi tu.
Bado wana mwili wa SinwarKama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.
Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.
Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.
Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel