Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Wao Huwa na Shughuli ya Kugawa TENDE NA HALUWA Inshalaaah wakisubiri mabikra 70
Ndivyo mnavyodanganyana hivyo?

Uislam ni mwema sana. Uislam sasa hivi unakuwa kwa kasi zaidi hizo nchi za magharibi kuliko kokote, unaelewa hilo?
 
Ndivyo mnavyodanganyana hivyo?

Uislam ni mwema sana. Uislam sasa hivi unakuwa kwa kasi zaidi hizo nchi za magharibi kuliko kokote, unaelewa hilo?
Dada Faiza Foxy huo uislam unaousemea unakuwa unakuwa kivipi katika mafundisho ya Quran au kwenye kuzaliana kwa lengo la kuijaza Dunia?😁😁
 
Dada Faiza Foxy huo uislam unaousemea unakuwa unakuwa kivipi katika mafundisho ya Quran au kwenye kuzaliana kwa lengo la kuijaza Dunia?😁😁
AlhamduliLlah, hakuna mafundisho ya Kiislam ya "kuzaliana kwa kuijaza dunia". Mafundisho ya Kiislam ni Allah ndiye mwenye kutupa uhai na ndiye kuuchukua uhai, hakuna mwanadam mwenye uwezo huo.

Kudra za Allah ndizo zinatufanya tuishi wapi na vipi.
.hivi ynaelewa Jo ya hata Christopher Columbus alipelekwa Amerika na mabaharia Waislam na Uislam tayari uiikuwepo huko kabla yake?

Naamini historia hiyo hamfundishwi.
 
Back
Top Bottom