AlhamduliLlah, hakuna mafundisho ya Kiislam ya "kuzaliana kwa kuijaza dunia". Mafundisho ya Kiislam ni Allah ndiye mwenye kutupa uhai na ndiye kuuchukua uhai, hakuna mwanadam mwenye uwezo huo.
Kudra za Allah ndizo zinatufanya tuishi wapi na vipi.
.hivi ynaelewa Jo ya hata Christopher Columbus alipelekwa Amerika na mabaharia Waislam na Uislam tayari uiikuwepo huko kabla yake?